Biashara ya Canter iko aje?

Kuna a group of us that want to venture into business together. My assignment is to research business opportunities za Mitsubishi Canter. Other ventures in consideration are 25 seater city matatu, buying plot of land and building apartments, butchery.
Anybody know anybody who does transport business?

Kwani hii budget yenu ni flexible kiasi gani, buying land and building apartments, buying a canter/29 seater, starting a butchery…

They want to set goals.

It’s still exploration. And the apartments were talking about is single rooms if it comes to that.

Yes. After 2 months we will meet to discuss what we have picked up from research.

Kumanage gari Moja mkiwa wengi ni tricky kiasi

  1. Usiwahi fanya business partnership na mtu. Kwanza start-up. So hapo toa matatu, canter na butchery. Kama ni partnership fanyeni investment, not business. Jengeni.
  2. Biashara ya canter mtachomeka vibaya sana unless you are in the farming industry, construction etc. Shida ya canter ni ati on top of buying, bado unaitafutia kazi. Double hustle.
  3. Matatu iko sawa but again ni biz na biashara haitakangi collabo. If you decide to go alone endea matatu kama utafika bei. Specifically 33 seater town service kama za Supermetro.
  4. Butchery ni biashara, pass.

All factors held constant, kubuy plot na kujenga is your best bet. Wakikataa hiyo jitoe ununue 33 seater personally uweke Supermetro or others.
Good luck!!

Good tips btw hio super metro inaweka ngapi ? @M2Random

Going solo especially for a 33 seater is out of my reach.
What made us start thinking of going into business together is we have been saving for a few years together without a hitch. Saving is very different from business, and we are aware of that, but we want to test the waters.
I appreciate all the input

True, business partnership fails 100% of the time

In that case, make the real estate investment work. Hizo zingine mkijaribu as a group you will fail. Biashara ikianza hutaka just one owner. Alternatively wakikataa fungua butchery ALONE.

Sikuizi kila hardware iko na canter isuzu wanawaletea wanalipa na installments … unless you have a business that depends on transport io stori lenga.@

8-10k daily depending na vile mtaskizana na driver wako.

Exactly. Canter lazima akuwe na biz inahitaji those services, ama connections to such a biz, sio kuingia kafua.

I second @M2Random. Repeat after me, “never ever go into business with anyone.” Just put your money in a sacco, like Stima, and continue saving until you can afford to go into it ALONE! The only business partnership that can work ni kati ya bwana na bibi yake. Everything else is a lie.

lakini nyinyi ngombe mbili mnafikiria canter ni ya kubeba vitu za mjengo tu na tena billionaire kama mimi huwa tunaingoja mpaka irudi kama imepelekea customer mwingine goods?

niece niaje?long time no see

Anzeni kazi ya distribution ya fombe/keg na make sure mko na agreement kwa lawyer on distribution of profits/management of the biz otherwise mtaanza kuvurugana ki-mbo-i-kamiti

Nikitaka lori saa hii it won’t take me one hour. Najua places mingi sana huwa zinashinda parking dereva wakiwa wameng’ethia tu wakichomwa na jua.

Poa tu bro. :slight_smile: Thanks for asking…

Mi nashidwanga wanalipa loan aje ?