Biasness in family function

Sato tulikua na function flani ya sherehe ushago kwa kukhu(grandma).

My cousin tumwite robert akanipitia na ndae yake from Nairobi. Tulikua na huyu Dem alikatalia hapa anaitwa milly. Roba is an auditor kwa KRA. Anadrive Prado and generally jamaa ako poa kimfuko.Robert alikua amekam na slayqueen shiney eye ako na tattoo kwa shingo. Ni Kama antaka kuoa huyo Dem.

So wadau kufika kwa boma ikawa salamu za hapa na pale. Shangazi zangu na wajomba walikua washafika.tukaingia na Robert kwa nyumba ya kukhu tukamgotea. Sasa elders sijui Ni kujionyesha ama Ni generosity but roba alikua anagawa Doo Sana. Alipea Kila mjomba na shangazi thao each. Pale kwa kukhu akamkunja jirongo. Akapea mabeste wa kukhu walikua hapo So mbili so mbili.

So shida elders Mimi singeweza kukeep pace na hiyo mbio. Mimi nlipea kukhu pekeyake Thao cz mfuko yangu haiko sawa. Elders hapo ndio niliona open biasness. Mjomba mkubwa aka organize haraka roba akasetiwa kiti na meza kwa kivuli. Wakakaa hapo na huyo okuyu wakaletewa soda tatu tatu. Mimi mjomba ananiletea fito ati nisaidiane na makuzo wadogo kuchimba Shimo ya kusimamisha pillars za tent. Hiyo kitu ilinichoma roho Sana elders. Kumbe huko jikoni aunty amefunga Milly leso ati wanasaidiana kukata matumbo. Na ndio Mara ya Kwanza huyu Dem kukam kwa boma bana. Nilimaliza kufunga hizo tent nikaenda hapo kwa boma jirani Ni brewery ya Cham. Nikapiga ya cham 150 nikarudi. Nilikabiliana nao sawasawa.

Families should not show open biasness hivo, hata Kama mtu Hana Doo. Unfortunately that’s what happens in many families nowadays that’s why people can’t coexist peacefully. Some of us choose to ignore

Huyo grandmother na uncles wako walifail kulea vizuri, cuzo anapeana pesa kwani io ni mkutano ya siasa? Tabia za sokoni kwa family gathering?

Including your’s truly

:D:D:D:D:D… welcome to Earth my guy,hii Dunia a pretty pre wall soft meat gal na rich mbillionaire wako same Whatsapp group,“maskini” Hana laake,you and the old and sickly, neighbor s dog mko league moja

Kulingana na ile oicha ya kunguru fake ulipost hapa. Unahitaji viboko

Welcome to the world my guy. Respect is always bought.

You and Milly could have said no to your respective delegated duties, bought your own sodas and joined Roba and fiance kwa kivuli.

Lmao… Take time changaa iki isha kwa kichwa and listen to this guy

https://www.youtube.com/watch?v=8LEL3pnf7NU

Mwarimo ni jina kubwa buda. Mtu awes itishia na doh

:D:D:D:D. Your name should be “ndethe”.

Si kwa ubaya but you suffer low self-esteem. Why should the approval of some old people peering into their graves worry you?

Haven’t you heard the saying :“No one cares unless you’re rich, beautiful or dead”.

Just live your life and show your face at funerals once in a while to paint the picture of a good person and you’ll be okay.

Ukienda ushago ukuwe na doo ama usiwe nayo just be doing something called technical appearance ata kama ni function… As in ungesalamia guku na kumpa thao yake na kutokea kwa mandizi na milly na kupotea… You only come back when the function is midway or coming to an end…

Find your own means of going home. Appear, salamu and move on. Umeambiwa hapo juu, no one cares. Plan and do things at your own pace.

We cannot select family but we can decide on friends.

If you are a man, above 25 years, 99% of your worth to society is determined by your resources (money).

You can biach, mourn, and cry about it, but you will keep getting that treatment in every event until you get that money.

Ukiwa msoto nobody will ever call you, visit you, or invite you anywhere unless they need your labor.

Sorry to break the bad news to you, but that’s just how the world works for men. You are either rich and the world is your oyster, or broke and suffer indignity everyday from women, fellow men, and relatives.

As the rich guys sit in the gazebo during xmas festivities enjoying cold pilsners and chatting about the latest car models, wewe utakuwa nje ukichinja ama other manual jobs.

Humans have social hierarchies, and you are either the guy financing the operations, or providing sweat equity.

Ever since the world started, respect has always been a commodity to be bought . Tafuta pesa babaa. Anyway, the best way to survive your situation is to be less visible in your family members’ lives and when you appear, ni just for few minutes. When you’re out of sight, you’re out of their minds, and zero bullshit coming your way. Ungewasalimia ukae five minutes, ongea na shosh na useme kuna kazi unaenda. No one will get an opportunity to know your wife, your situation na mashida zako, therefore, they cannot use it to judge you.

I will reveal something that I have learned over the years. Society values people based on a combination of looks and money, both men and women. However, the weighting is different for the genders. Women are valued more for their looks, and men are valued more for their money.

Women - 70% looks and 30% money

For women, looks alone are enough to get her VIP treatment at a social function. If she is average but has some money, that might help a little bit. But looks matter more.

Men - 90% money and 10% looks

For men, money matters so much such that looks are never enough to tip the scale. They are just a bonus in case you have some money. As a man, without money, you’re fkd. On the flip side, if you look like @Tauren but have money like an oligarch, people will overlook your looks and still treat you like a king.

Moral of the story? As a man, your sole focus is that bag. Nothing else.

Familiarity breeds contempts. Be a mysterious person. Kama ni hizo function. Just go without expecting beba cans za pombe. Wapee kabla ziishe fake call. Ambia anko ume endea tao nearby ukiwa na mrembo. Shosho mjenge kando na bahasha. Jitoe

All families are like this, ni vile some are more openly contemptuous than others. Rich family members are treated better than the poorer ones in family gatherings. Hii Kenya if you are poor no one respects you

:D:D:D