bike 'facelift'

wadau, I’d like to make changes to the face of my vintage peugeot racing bike. Where can I get handbar tape, new brake levers na a decent water bottle hapa nai kwa bei ya mwananchi muaminifu? [SIZE=1](not real image, but looks pretty similar).[/SIZE]
[ATTACH=full]180285[/ATTACH]

Si wewe ndio uko diaspora? ama ulirudi Nunua bike mupya,hii weka kwa ukuta design ya museum wacha ufukara

Kwani Amazon walifunga?

Kuna mafundi ngori pare githurai fote fae.

  1. After umepita flyover ya softy ukiingia githu from roysa kuna place huwaga na mto yenye imegawa zimma na 44. Hapo mbele kiasi on your left utaona bikes zimeshurio juu pamoja. Hapo ni kwa old tymer racer anaitwa Gachoka ama Oshoks.
    Spares, bikes, bottles, camel bag utapata hapo.

  2. Huko ndani githu fote fae kwanza pitia hapo New York bar umese jug daniels mchana bila wasiwasi wa kushikwa na afande. Kisha teremka hapo chuma mbili kwa reli utapata fundi watatu kila mmoja na base yake.
    Kuna Njogu base (owned by Oshoks), Murigi base na kwa Roy.
    Utapata bikes mpya na spares.

Ukishasaidika na kuundiwa bike ambia murigi muende road test na yeye akiwa na 700 na wewe na fijoti commeh yako.My friend utajua hujui.

Kazi kwako.