Binadamu hawana utu

Leo nimepitia happy juja golf club , nikaona heavy guzzlers zikiingia zikitoka , all in the name of playing golf “dynasties” opposite Kuna jamaa anasukuma baiskeli akiuza miwa amevalia floaters , nami am just peeping from the Nissan nikienda kubroker simu Nairobi…

Point is Ni survival for the fittest …

We’re not a communist state.
Hakuna venye naeza chukua risk nipate doh alafu nianze ku-share doh zangu na bonobos wanazaana kama panya bila kujipanga.

Ata wewe tafuta pesa uwache kuiita watu wanaendesha V8 engines “dynasty”.
Peasant mentality.
Ghaseeeeeer!

Hehehehe Kama Ni dynasty Ni dynasty

Mbona unaassume huyo mtu anapush miwa amezalisha watoto wengi? Some guys are working so hard but have to cater for their dependants e.g ailing parents. Others were not born into families that would enable them get favourable education. Ukipata kidogo usidharau mtu mwingine…

[ATTACH=full]345824[/ATTACH][ATTACH=full]345825[/ATTACH][ATTACH=full]345827[/ATTACH]

Kwa mtu wa miwa wewe ni dynasty , kwa watu wa guzzler mwenye club ni dynasty, kiandutu mtu akona bike ni dynasty ! let’s stop with the crab mentality ya kuvutana chini !

Tunajua dynasties Ni akina nani,Ni wale hupitia nje ya kemsa wakiwa kwa shuguli zao wanaitiwa tender ya mamillioni

I agreee

Sofara keep hassling hardest,

Will Africans learn this?

Kuna washezi wengi kenya who view anybody who is doing better than them as dynasty , ona watu wa nduthi vile wana fanya !
The whole thing is a class war that will leave us in deep shit ! Nothing more than crab mentality !

I like the hustlers / dynasty direction, way better than the tribal politics we have been sold on to, politics should be based on economic ideals, the fear it’s creating is good makes people realize there are other groups of people who don’t get the same chances in life.

Our system has limited opportunities, and they are mostly gobbled up by a very few people mostly in what is sometimes referred to as the upper deck - especially when it comes to education and the opportunities that arise from that.

Sharing is caring, ‘Live and Give’ is a good way of living but you are right because some stupid peasants exaggerate it too much… Mtu atakosa kutafuta pesa yake aanze kusema ati matajiri lazima wamsaidie ni kama yeye walikuwa wanatafutia… Kila mtu ako na right ya kuenjoy mali yake vile anataka… Mtu akishindwa kutafuta mali akae apo athani ati ako na right ya kusaidiwa na matajiri atakufa bure bana… Atafute mali yake tuone kama atakuwa anaenda akipea kila mtu kwa barabara…
@MachaaWaHadithi hao watu unasema hawana utu unaweza pata wamesaidia watu wengi kuliko pesa uko nayo… Only that your small brain thinks that they must help everyone

Zile guzzlers ziko Nairobi and maybe Kenya at large hata some U.S. cities sijui kama zimefikia. Which raises the question: what is it these people do that earns them such vast amounts of cheddar? Ni innovations gani au inventions, enterprise gani zimeajiri watu kazi na kuleta maendeleo, what have they done that is so special that others cannot do? What is the source of this vast amount of wealth in a country crippled by debt and a struggling economy.
The answer to that question might begin to explain why there is a profound sense of angst and anger among the underclass.

It will blow up in something worse than tribalism. Recall the cases of stupid nduthi gangs burning up vehicles

Chief you feel threatened

I don’t feel threatened but I feel awfully bad when I see citizens pitted against each other in basis of class

STOP THE LYING!! Nairobi can only have more guzzlers than 5th tier US cities of less than 50,000 people.

This will be like the salem witch trials utajipata side mbaya ume itwa dynasty ndio utajuwa