Biopsy Pt 5

pamba

Village Sponsor
#31
@pamba yani uko na typhoid but unatumia waiver yako kwanza wanakufanyia full haemogram alafu wakuambie uko na typhoid?
Unamaanisha wamenichenga kufanya unnecessary tests kitunguu yao inukie zaidi,the last time nilienda hosi nilipimwa hadi HIV nikawekewa kwa bill bila authority yangu.
 
Veccino

Village Elder
#32
Unamaanisha wamenichenga kufanya unnecessary tests kitunguu yao inukie zaidi,the last time nilienda hosi nilipimwa hadi HIV nikawekewa kwa bill bila authority yangu.
hapo wamenukisha kitunguu yao na wewe.Tafuta ciproflaxin umeze polepole.Utapona.
 
Veccino

Village Elder
#36
Nimepewa daflon 500 mg ,1*3 for ten days and told to avoid alcohol, how effective is it?
side effect yake tu ni headache na nausea.Avoid alcohol huwa inaaffect its functionality so utamaliza dawa ufikirie umepona but there will be reoccurence of the disease after sometime.
 
Top