Biz

Wangwana.

  1. Hardware
  2. Wholesale
  3. Spare Parts za Gari

Nawaza kutry SME next year and I have narrowed down to those three in line with my philosophy to never invest in a business yenye Muhindi hafanyi. Which one takes the day?

Nazitoa wapi? As a beginner ni ngumu kujiletea import. Unajua place naweza ziget na bei ya reseller??

Location?

If ni nai 3 wont be a viable idea as much, we all know where to get those comes to mind

Number 2 would be my pick kwanza if you deal na household items and sell your idea to the women in your hood you will reap good

  1. Tafuta source ya spares Dubz or Saudia, spares ziko cheap huko.

Part za CXZ, Giga, FH, na chuma za second hand huko UG ni bei kuthrow…

Kwa mtu anaanza ni hard kiasi. Msee akiendelea obviously itawezekana but for now local sources ni sawa.

Na za Toyota Hiace ama the common saloons kama fielder na axio??

Hakuna cha new model huko. Zenye unaweza pata ni old model like saloons, Toyota 100local,110&111 vitu mzee yaani na huku bdo ziko na market.

No 3 enda andikwa Kwa duka la spare parts upate wateja for two years , tafuta good conduct Kwa dci fungua duka next place ulikuwa unafanya and thank me later , those advising you to go for it without due diligence are not frens

What budget are you working with?

Siwes vumilia kuandikwa to make peanuts. Sio kwa ubaya. Ni kama kuambia bank manager anataka kufungua hotel akuwe waiter for two years. Naelewa experience muhimu but siwezi anza kama mfanyikazi

0.5-1.5mil. Depending na location nitapata. But I highly prefer starting with 0.5 mil

0.5 ni kidogo. Wekelea from 0.7 kwenda juu.

Ikibidi ni sawa. Unajua lazima msee aangalie the minimum capital needed as a newbie. Kuanza na pesa mingi biashara hujui sana is a recipe for disaster.

1m can set you up on spare parts shop. Do a mix of service parts, oil, filters etc and a few nose cuts. The critical thing is to define your niche market first, then build a name.

inbox me i offer you a business proposition.