blackfriday sales

petervic

Village Elder
#1
The deals on amazon @ www.amazon.co.uk especially on phones are so amazing hadi naona jumia is a big joke .. wish i knew someone who stays in the UK or a cheaper way of buying and recieving the percel right at my door step
 
emali

Village Elder
#14

Leta link ya hizo simu unasema...if you want to import ongea na hawa jamaa...tuma mzigo nyumbani uk..wacha nitafute number

Morris Njuguna
+447949 531 238
07474 951 195

Sanaipei
01582 561029
0739 810 5110
Kenya Exports LTD
 
Last edited:

uwesmake

DRYFRY ARTIST
#16
nimeenda jumia and apart from the Tusker zenye sijapata the 119 pieces the other drinks wanadanganya about the prices which means wanadanganya other products pia

kwa wholesale

Jameson 750 ml mimi hununua 2000 wanasema sa hii ni 1,940 from 2,450

Johny walker black label 1 litre mimi hununua 3,000 wanasema ni 2,960 from 5,000

wakenya munachezewa akili na hizi nyangau corporate beasts .
 
petervic

Village Elder
#17

navile nataka kubuy ibrit hapo eti naona imeshuka price by half .. ? kumbe ni lies but pia techno w3 wanauza poa sana from the original price na tusker 6 can hawadanganyi sana pia
 
Top