BOMET BUSINESS

Hello mbirrionaires,

Nimetembea hio town inaitwa Bomet and by the look of things, si place mbaya ya kuinvest.Ni a growing town with a new University which has opened up the town.
Nimetembea hapo kidogo na nikarealise hata place ya pombe ni mbili tu and even wonder how the students survive huko.Vitu kama PS na place ya movie hakuna.Ningetaka mtu ako willing kuinvest ajaribu hio place.Inakaa viable juu hata nyumba mingi ni ya bricks tu and hazitoshi wenye wako huko.Nitakua hapo for a few days na mtu anataka kuinquire anything aniulize ntajibu tu.
Ningekua na pesa ningejenga buildings hapo za biashara nione…

Nimevaa helmet matusi zikam.

Position ya chancellor iko open?

Halafu wakati ya elections unachomewa investment yako because wewe ni madoadoa.

hehe ta sidhani wanajua VC ni nani…kashule kakona buildings mbili na mirrions of students…

huku ni kwa wakale tu but after sometime watachanuka usiogope kuinvest.

jaribu wines and spirits … ikigrow weka bar

ziko mingi huku kama Kiambu.Club kubwa ya wasichana kuenda na masponsor ndo hakuna

Naweza weka ya keg huko na codeine?

maybe purchasing power is too low.

hehe unaweza lakini uongee na @pamba vizuri.Nimeuliza mtu wa wines akanishow @pamba wanakamia pesa kila jioni…

could be…

50*30=1500 not bad…ama hawachukuangi 50 kama traffic… Huku kiambu waititi ako lakini bado tunakazana.
Naweza enda reconnaissance huko ya base ya keg,nishike ma students.

Jaribu bahati yako

Kalenjins are very conservative. Utabomolowa your bar/ps shop in the name of “UNAHARIBU VIJANA IN THAT AREA”

It is time wamechanuka…I heard some woman complain of how campus girls are dishing out their honey pots to anybody…“ati watapea vijana wetu ugonjwa”

biz ya sport shoes na leather jacket ya Brown

nyumba mingi ni ya bricks tu and they are few. bado nazunguka nikicheka

:D:D:D:Dnimecorrect hiyo

kwanza wanaleta mechanic toka narok.@introvert leteni garage huku

Uko wapi exactly hapo town, nipate hapa twigs.