Hizi vitu za uongo mingi huwa sina psyche nazo. Hii nimejaribu kui-avoid but naona ikiwa na consistently high ratings. Naona itabidi niikalie nijue whether it lives up to the hype.
Atleast in this one disney haikufanya ujinga ya star wars movies. Haka kaa mama feminazi kame vaa black kaliambiwa akae mbali from Mandalorian. Only her name inaonekana but hana influence kwa hio show.