Bora nitapata mchumba wa kenya huku bongo miyeyusho

Aaah nasikia wajaluo hawajatahiriwa. Siwataki
Aya Kikuyu,kamba,Masai nipo single jamani tizii nimekosa bwana wanataka tu kunimisuse kama ile hela yenu ya national youth nini ile.
I like black guys.

Hahaha Naona bado unaendelea kutafuta

Nitaacha nikipata mkuu

Wakenya mko mnaitwa huku.

karibu mombasani, je utatuzawadia sumaku kuadhimisha eid?

mwili tembo au sahivi umepungua?

mwili tembo au sahivi umepungua?

:p:p:p:p:p:p:p:p:p

Ahahhhaaaaa

Jamani jamani loh

Unakijua kiswahili chao? maana kwenye kiswahili lazimamshindwane.

Wewe ukimwambia Baby nataka za saloon, sikilizia utakavyojibiwa sasa…:p:p:p:p:p

Sumaku ni nini kwanza?

Papuchi:p:p:p:p:p:p:p
Hukumbuki @Demiss alivyokuwa anasemaga ya kwake inavuta Dushe kwa ndani, ndio sumaku yenyewe hiyo.

Miss you!!

Karibun sana jamani.

Si unaona utazamaji wangu ulivyo na faida eee:cool::cool::cool::cool:

Ahahahahhahaha kwanza kuna mtu kaniambia nicheki kenyatalk sjui yan nataman kuendelea na id yangu ya jf sjui nafanyaje iwe kama wewe

Kila lakheri katika kupambana na magovi

Ahahahahaj jamaniii utapata usijali

Umetisha Mkuu, ushakuwa leader huku?

Yeap