when you have no other plans for the day but stay indoors is when kplc decides to pull a fast one on you…
#nopowernoplan
Weka solar.
Kwani hii Thitima imepotea hadi wapi?
Low tide, can’t swim, kutoa lock ndio plan sasa
halafu jua ni kali ni ka imetumwa.
Hata Mombasa stadium hamna thitima
sasa imebidi nipotelee pub lakini leo nikilewa kutaharibika
Hapa Ktalk, kwako ama wapi?
happens to me most of the time…
Lock imekata kutoka ,vuja de Niko area
Pwana D. O… …furahisha roho
Manki ako out and about swinging with electric wires , hence the black out
Kenya parrafin lamps and candles thats their speciality
Hahaha.uko na ufala.
Stima ilipotea kwangu 5am. Ikabidi nitoroke kwangu 7am to find power and catch up on a backlog of work.
Now I’ve been sitting kwa hoteli since 7am. Nmekunywa chai, soda, nmekua lunch sa nakunywa tusker as I watch sponsors bring in girlfriends and other people’s wives (i can always tell when a woman is cheating).
Anyhow whose feeling sufficiently philanthropic nimpatie paybill…?
[ATTACH=full]62796[/ATTACH]
uko na ujinga boss
nko export duties na importer hapendi fombe
hao ni waembu WA huko kwenu rwenjo.
nyinyi watu wa manyatta hujiskia sana