Boy child Resistance

A story of a young guy by name Mbogo has been trending since morning. The guy decided to walk away from the dowerys ceremony citing his frustrations resulting from unnecessary fines. Ukioa kwetu Embu just prepare yourself with the items in the list…[ATTACH=full]144290[/ATTACH]

mbona madame wakwenyu ni Malaya na walevi hivo?

Labda mkeo. Every market has a mad man. Itadepend na mwenye umechagua kuoa.

sijakuuliza example ngombe hii

:Dlast item ni ile ya kukumalisa kabisa.

Hiyo waende British Embassy wakaitishe huko.

so kuzaa mdem ni kukuwa na investment???utter nonsense…I give what I feel deserves my woman and her parents fullstop!!!

ommission of any of the above attracts fines similar to what Mbogo passed through. He had to Malaysia immediately.

mimi kitu na support kama spectator ni hio sukari ya beer ya 50kg ya ANKO na clans beer ya 100kg hapo mizinga zianguke na tuker story iishe jamaa achukue ngombe yake aende nayo .

Ukipata vichwa ngumu pia wewe kuwa X10. Mimi walianza hii maneno nikamka na kunyamazisha kila mtu. Nikambia wazee twende. Nikaita msichana tuende ama abaki. Wakapiga kelele nikasema kutoka hiyo siku hakuna tena kelele yao nitasikia. At that point ndio niliwaambia kuna mimba yangu hapa, tunaenda kuanza family na nitazidi kuzalisha msichana watoto wengine. We then left. A decade and several years later, my family is big and I still hold strong. I decide when the kids go there and return. Until today they ask I come back but I told them to forget it. I told them to come instead but let be clear it will just be the traditional token not material gain. My money is for the kids. Besides we help alot when needed.

Ndio vijana mnaambiwa hapa saa zote, zaa na dame watoi kaa wawili kwanza, kisha enda ukaone wazee sasa, tuone kama utaitishwa hio list; ama ni baraka mtapewa tu…

Tricky sana

dowry ni kama ku uza mtoto

watu wakamuane bila kusumbua

solomon alikuwa na 900 concubine na hakuwai sumbua

I give up on marriage.Mita moja hapo imekatika

What happened to, the father of the girl cannot ask for more bride price than he paid for?

Dowry silipi

Na bado hujacount wedo. Mara colour scheme sijui nini…

And then after all that she leaves you. Best be cheap and stingy all through.

These are the things that make it hard for young people to settle down .
The outcome is a lot of illegitimate kids all over, single mothers and irresponsible men.
Not everyone has guts to speak up like @spear and the rest.
So most end up suffering in silence .
Picture a guy who’s serious to get married and settle down , then he’s faced with obstacles ,unnecessary ones like these.
The frustrations…
Otherwise as Africans we really need to choose what cultures and traditions to hold on, some are destructive .

niliambia wakikuyu silipi wakitaka wachukue mtoi wao waniachie watoto wangu , walikunja mikia .

Most ladies will move in for free if you have a home a TV. Why should they deny themselves an opportunity to be married when they won’t see a cent of the ruracio money? This is how they reason and I don’t blame them. For example look at this list in the thread, si hii ni tamaa nyingi??
Mila lakini ni poa kuifuata as much as possible. Baraka za wazazi ni crucial for your new family to thrive