boychild kuoa bila kujua

Nimewai jipata nimeoa bila kujua bana. Dem anaanza kuacha belt then next thing ni panty zinaanikwa kando ya kitanda zinapepea ka windsock kwa weather station.
Ilikuwa closing alafu the following term hatukua tunarudi colle coz mraiya most tulikuwa tunaenda attachement, so wasee wengi walikuwa wanasaka mansion Nairobi.
Mi nlikuwa na keja already so kile nilisaka ni job kwa cyber flani hapo hood ndo nidunge hustle nipate za kulipia nyumba na food na nibaki na za macho badala ya kusumbua wazazi wanitumie doh.So kuna time nili meet dem flani tunajuana tu na alifaa kukuwa attachement pia, akadai ye amepata but ni huko Kikuyu ocha kwao na wazazi wanadai ahamie ocha but hakuwa anadai kuchomoka mtaani soon.
After kuchapiana akadai nimsho place na stay, nilikuwa reluctant at first but juu ali insist nikaamua kumfikisha acheki vile boys naishi ka refugee kwa keja ya aluminium… yani mabati!Hiyo keja ilikuwa inafika mchana ka jua inawaka proper unadhani unaishi ndani ya microwave, unachemshwa hadi ka we ni ugly unabaki umeivaa msee.kwa mansion kitu ya maana ilikuwa kitanda, woofer na lappy pekee… hizo zingine zilikuwa by the way. Mwanaume bora umedoz, umeskiza ngoma na ume watch muvi… chakula ni kibanda!Akadai si mbaya as long as niko na roof ya ku doz under ikifika usiku coz Nairobi ni shamba la mawe na kupata anything si rahisi… unahitaji connection hadi ku’call customer care ya Saf ndo call iende thru’
So akadai anaeza nisaidia viti zake for the time being coz hata alikua anadai kuziuza but anaeza niachia hadi ni get doh nimpee coz hadai kuenda attachement ocha nazo, si boy child nikakubali. Next day viti zili come thru’ na mkokoteni, manze mansion ikaanza kukaa kama mansion sasa. Dem akadai lazma tufanye house warming bash officially… nikamkumbusha sina stove, mi ni mtu kibanda.
Akadai anaelewa ma boys ku furnish nyumba huwanga ngori so akadai nisijali vitu ni pole pole… si tuka buy chipo na soda tukazichangamkia tukipiga story hadi hatukugundua ni late.
Ilikuwa 9:40 na kwake ni far, alafu ni zile ploti hufunga gate by 10 so ilikuwa obvious atapata wamefunga gate… si akadai anaeza doz kwa kiti tu kama si mind coz hataki kusumbua neiba wamfungulie gate. Boys ikabidi ni act ka gentleman nikamsho alale kwa bed tu mi nta’doz kwa kiti… akadai ni poa as long as niko poa. Si sleep over ikaivana… the owner akageuka the guest kwa nyumba yake.
Boys nikajikunja hadi nika chora “Z” kwa sofa nika doz… nikageuka IDP kwa nyumba yangu, yaani Internally Displaced Pervert.
Morning dem akaamka mapema ka amevaa tisho yangu na panty akadai ningekuwa na stove angekuwa asha make brekko but nikamsho haina noma, next time atapata ka nime’buy stove. Si nikamsho mi naenda works anaeza feel at home alafu akidai kuondoka anaeza niletea key hiyo base nadunga works coz alikuwa anapajua… nikachomoka nikaenda kujenga nchi. Kitu saa tatu hapo dem akakuja works akanipea key akadai ye anachomoka kufika kwake aone keja yake iko aje, akadai tutabonga mob baadaye… si akatembeza high heels nikabaki works nikisaka dollar. Kitu 7:30 nikaingizia mansion na supper take away kama kawa, ile time naseti supper kwa plate ya mabati naskia msee anagonga mlango… nikajua ni mbogi wa ku time supper ya wenyewe. Si nikafanya vile ma’bachelor hufanya mtu akigonga mlango, nikaficha food jikoni ndo nikafungua mlango… na hii economy kama share yako haiko msee jua tu haiko, ji-sort msee!
Ilikuwa ule dem bana, si nikamkaribisha. Akadai alikuwa anapita tu akakumbuka alisahau belt yake na earings kwa side draw ya bed yangu… nikamshow aingie tutatafta. Akaingia akazipata then alikuwa ameleta supper since mi ni mtu kibanda aliona a buy take away. Mraiya tukachangamkia hiyo food… meanwhile chapo ndengu zangu zilikuwa zinapoa jikoni place nimeficha. Tukaanza kuchapiana risto za vile colle hushika blah blah blah… kama kawa time ikasonga tena tukapata ni 10:30. Akadai hataki ikuwe habit but kama si mind atadoz kwa kiti this time. Same script different day, nika offer kulala kwa kiti but akadai si poa nikuje tu tulale bed coz sisi ni watu wa kubwa tunaelewa hizi vitu… ati as long as “TUKO NA SELF CONTROL” hakuna shida.
Ju kujikunja kwa kiti huwanga ngori mwanaume nikajitupa kwa bed, dem alikuwa side ya ukuta na mimi nilikuwa kando yake kama chumvi na pilipili kwa chopping board ya mutura. Dem akadai hawezi lala na jeans so akatoa akabaki na panty na bra but akachukua tisho yangu ya Safaricom akavaa, nikaona hiyo ni “The Better Option” nikadai pia mi siezi nikavua trao na tisho.
Hiyo siku tungelala poa ni vile dem alidai niache uoga nisonge karibu tu’Spoon niache kulala kwa corner ya bed, then kuna venye mjuols ilim’poke mgongo akaguza ku’confirm ni nini… ! Hapo bed cuddling ilikuwa in brief, kwa akili nikajua tumeanzisha kitu italeta noma but mjuols ilikuwa inaniambia nyandua first then think later, tisho na bra zikaenda missing. Panty tukateremsha tu kiasi hadi kwa thighs then akai kick kama punda iko in distress, by the time panty ina land kwa floor tarimbo ilikuwa ime’slide ikachukua ma positions ndani ya ikus. Dem alikuwa na nipples hard alafu warm hadi una feel ni kama uko na heart burn place zinakudunga kumbe ni nipples tu zinatuma signal kwa mjuols itie bidii huko chini.
Tukaanza na missionary tuka graduate kwa colonization, hapa ndo unamshika shingo unam’choke ukimuuliza “Who’s your daddy?” then tukamaliza na independence, hapa kila mtu anajivalisha suruali. Bana tunamaliza kufurahisha genitals nikaskia dem amedai “Babes that was great…” Hapo ndo brain ika regain control from mjuols nika realize niko kwa relationship sijapangia. Mwanaume nikaendea ile chapo ndengu nilikuwa nimeficha hapo jikoni nikaichangamkia kurudishia mwili nguvu… then nikarudi kipindi ya lala salama.
Asubuhi Boy child nikaamka nikapata dem alikuwa ametoka kwa bafu akanisho ashaniwekea maji moto kwa bafu niende nipige shower kwanza ndo ni take brekko… yaani dem alibeba coil kwa purse!!! Si nikachangamka hadi bafu kuoga, huko nikakutana na panty yake ameanika nikajua hawezi ibeba ikiwa wet so ni obvious hajavaa panty na atashinda huku kwangu leo… hizi hints sikuwa naona mapema bana. After kuoga mwanaume nikajitibu brekko faster faster nikachangamka hadi works, nilijua akitaka kutoka ataniletea key ya mansion huko works… nikaenda kuwa mtu wa maana kiasi.
Lunj time dem akaletea lunch kwa hot pot nikachanganyikiwa kwanza, nikadhani maybe ame buy kwa kibanda na wakamwekea kwa hotpot juu wanamjua… si nikashugulikia tumbo kwanza maswali baadaye. After kushiba kama kawa mtu hukuwa lazy especially ka ilikuwa heavy lunch so sikuuliza maswali mob, dem akajitoa akarudi mansion… nikajua nime save pesa za lunch ya hiyo siku. Nkatoka works 7 kufika mansion nika notice changes. Nguo zangu zilikuwa kwa cloth line zimefuliwa, alafu nyumba ilikuwa inanukia air freshener na star soft, harufu ya socks na viatu ilikuwa imepotea
Viti ziliwekwa vitamba alafu mosquito net ilikuwa ina swing juu ya bed ka chandelier, nika notice kuna gas coz kulikuwa na harufu ya nyama inapikwa, then dem alikuwa amedunga tisho yangu na sweat pants.
Dem aka nikaribisha na hug na zile za “Babes nimeleta vitu kiasi, atleast inakaa nyumba sai…” kuskia nimeitwa “Babes” tena nikajua iko shida… umewai ingia kwako but under new management. Then akadai kuna vitu alishindwa kubeba ameenda kuletewa na lorry… mans nikajua hii hata si “Come we stay” hii ni “You cum, I stay” so nikajua vile nilimnyandua hapo ndo nilijifunga msee. Kitu 9 hapo lorry ikaleta vitu, apart from kitanda na kabati, hizo vitu zingine zilikuwa manguo zake… nguo na viatu zilikuwa mingi ungedhani alikuwa anaishi kwa boutique.
Msee nilikuwa speechless coz vitu zilikuwa mingi na mansion ilikuwa less so zilikuwa zime chrome, kulala kwa kiti ikakuwa mystery so ikabaki tutafinyana kwa kitanda tena… underline FINYANA.This time ni yeye alianzisha cuddling, akili ikaniambia niache kuzoeya but mwili na mjuols ikaniambia ikus only comes once… nyandua kwanza then kesi baadaye, si nikatii nikapanda mti ka Wangari Mathai. Next day nikaamshwa kuweka mti ya aerial nje coz alidai anapenda kuona soap, so mi ka man of the house ikabidi… dem alikuwa attachement kwangu na mimi ndo attachement alikuwa anaFANYA. Nili realize maisha imenigeukia a week later, mwanaume nioge asubuhi alafu nirudi nioge tena usiku bana, pesa nayo haikuwa inakaa mfuko coz mahitaji ilikuwa mob kushinda shida zangu. Mwanaume nanukia star soft na shampoo kama mtoto, sipati amani ya kunuka sweat kwa mansion yangu bana… nilikuwa nishajifunga na mi bado sijamaliza raha za dunia msee. Ikabaki nashinda nikiuliza dem anaenda attacho siku gani? Alafu na ye alikuwa ananisho “Am still working on it Babes” nikajua huyu ni kama amechorea kuenda attachement sasa.
Rumours zika spread kama blueband kwa mkate ati nimeoa, boys nikajua nisipo fanya kitu mapema ntajipata na attend roracio yangu… alafu mi ndio ng’ombe ningejipeana kama mahari.
So kuna day alinisho nitoke works mapema ati We need to talk, bana nafika mansion dem ananishow “We need to move to a bigger house” ilibidi nimemchapia sielewi hiyo ngeli ya “WE”. Yaani uhamie kwangu alafu sasa unataka tuhame, nilimsho it’s time ameacha kufikiria in plural form aanze kufikiria in singularity form… coz watoto wawili wakioana hiyo ni utoto! Read between the lines, ku-lay down pipe haimanishi una own water company, mi nlikua tu plumber, kazi yangu ilikuwa ku lay down the pipe… Get it!
Ikabidi nimemchapia it’s time aende attacho kwanza story na ku move to a bigger house atapanga na bwanake akisha oleka coz boys nilikuwa bado student na hakuna commitment nilikuwa nayo na yeye. Mwanaume nikaambiwa hata sikuwangi m’cute ni huruma tu alikuwa amenionea, boys nikarudi kuwa ugly and single ndani ya nyumba yangu… akabeba hadi viti alisema ataniuzia bana. Man’s Not Hot !!!
Enyewe dem akitaka kuhamia kwako ni simple sana, anaeza hata acha wig atakujia next day ama anyoe eye brows akuje next day kuuliza ka uko na felt pen ajichore coz eye pencil yake imeisha… !
Moral: Fadhela usiwai peng Mjuols design ataiskia kwa maini esp ka ni FWB utapata umeoa msee.

why are you reading things here and then regurgitating the same shit word for word!

Mwisi wa hekaya!

The least you could do was paraphrase

Jamaa anakaa anangojea torrent ya likes!

[ATTACH=full]151205[/ATTACH]

Acha wamalize kuoga wakuje

kuwa unasoma thread za watu senji
unarecycle tu

:D:D:D:D:D:D

Nugu

Meffi

Hata sijasoma, nimescroll down haraka haraka.
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Mtu ajaribu ku like hii umeffi ya new villager atakuliwa kunyi na @Freakazoid
Chieth

Wacha ku avoid mambo and you still acting stupid why post and push it to the lastest active thread fucking dumb ass hebu rudi kwa ile nakutusi speedy …
[ATTACH=full]151224[/ATTACH]

From which shit hole are you from na usiseme Africa tafdha

Recycled copy paste.

tuliona kaka

Upus

hata mumekasirisha author

[MEDIA=twitter]953598048822874117[/MEDIA]

Hehehehehehehe!! I can see what’ coming.

True!! [MEDIA=twitter]951716777729449984[/MEDIA]