Breakfast rip off.

This is a rip-off. Few beans+ toast+ sausage inauzwa ksh570 aje?[ATTACH=full]227945[/ATTACH]

Posting breakfast at 0248 hours nikama ulikuwa unaota chief.

That’s more than fair. Peasant.

Nimeamka na njaa sana. Sikula supper afande.

Not to us peasants bro.

Nunua ngumu uteremshe na maji ya tap

Let me try that one out.

Boss, hiyo ni ya wale wanasupply hewa kwa serikali na kujenga air dams. Wakikula ata breakfast ya 50,000 bado hawafeel. Wewe mwenye unahesabu kila shilingi unaearn itakuuma sanaaaaaa.

Yummy! Hata wacha niamke sasa

it’s sad but true

You want sausage and beans?

Kama wewe ni shareholder wa ma Dams. Hiyo ni pocket change

Do you have options ?

Jes, na hio bacon and raw tomatoes

Juice delmonte=80
Milk tea=50
Sausage=40
Tomato=5
Baked beans=50
Mayai=30
Slices=10
Bacon=50
Others=50
Total= 365
Profits and overheads 60%=580
Verdict:fair price

Heri ni nunue mkembe ya maharagwe nikule mwezi moja

hiyo ni yako sasa ya chief mbitika pale kwa kibanda ya mueni ndio hii

Milk tea= 10 (chai rangi 3ltrs water 500ml milk)
smokie kwa man njugush=25 na kachumbari
raw tomato=0 iko hapo juu kwa kachumbar
i
baked beans= nonesense mueni pima dondo ya 15 uchafue juu ya chapo …kile tunajua hubakiwa ni mkate keki na nyungu
mayai= mueni chukua mayai mbili zile zilipa suka kwa gari at 30 fry chap chap nachelewa!
toasted bread =covered by chapo chafua above
bacon=ati nini kama kuna kichwa ya ngombe ya 30 fry chap chap mueni ulete

total= 120 -150
and still you will be called rich as you bounce out off muenis kibanda .sadness of life
alot of protein though

Hehehhe. Actual breakdown is half of that 365/- buda.

They didn’t include labour and electricity which can’t be under others

Why not? When costing for a plate, it can definitely fall under others. And that’s actually a high figure for both.
Add in the economies of scale with bulk buying, salary payments etc and it works