[ATTACH=full]1735[/ATTACH]
Hizo kachumbari zinaeza kupatia food poisoning mbio sana.
I take cereals for breakfast yetmtu akiniulizia how am fairing on namjibu “ni kujaribu tu. Uchumi mbaya lakini kujaribu tu.” sawa wewe ukiulizwa utajibu aje?
Tumbo ya kayole haiwes pata poisoning hata imeze cyanide
NGOJEA KUHARA SASA
cereals or just a fruit…and u gud to go
Ile siku utapata bacteria juu ya hio kachumbari utasema pamba alikukataza last year karibu nisalimie baba mbinguni.
Naumia … serikal saidia …
ujue mahindi choma ni cereal pia…na njugu karanga pia…na zote huliwa asubui pia…so labda mko lane moja.
Stay away from samosa even in five star hotel.
haha ma-hater
samosa za sanford/santona hua sawa, kila siku mbili
Hiyo kachumbari ndio mezesha. Nyama huliwa hata ya wiki mbili.
Be specific. Which cereals? Ndengu za last night? Githeri? Njugu karanga?
Ondelo