Breaking news..Uhuru DUMPS RUTO

#1
“Uongozi utakuja na Mungu ndio anapatiana uongozi. Na uchaguzi utakuja na utaisha, Kenya haiendi pahali wenzangu. Kwa hivyo hakuna haja kila saa tunachochea wanainchi wa Kenya. Tufanye kazi yule atachaguliwa atachaguliwa me I don’t mind, sasa ni wakati ya kazi,” said President Kenyatta.He made the remarks at the funeral of Rahab Wambui Muhuni, the mother of politician Peter Kenneth.
 
Top