mafans wa gor mahia wamechoma gari ya kanjo near kencom and a nearby car was also redused to a shell
[ATTACH=full]11895[/ATTACH]
as a senior villager you know the rules
kwenda leta picha
[ATTACH=full]11901[/ATTACH]
Madimoni zimekuja kwa kijiji full throttle leo.
simu inge enda kaa ningetoa
hapo mtanisamehe kidogo
[ATTACH=full]11896[/ATTACH] [ATTACH=full]11897[/ATTACH] [ATTACH=full]11898[/ATTACH]
kwani game iliendaje I thought walishinda?
[ATTACH=full]11902[/ATTACH]
[ATTACH=full]11903[/ATTACH]
Mali yetu! (waving an imaginary twig)
watu wa mbishaa mlikua mumengojea mtu alete hekaya mtoe meme zenyu…pics ndo hizo…apparently the kanjo vehicle knocked n killed two of their fans
They should have burned the driver, not the vehicle.
Haiya! What is the dere turns out to be your rela?
The tourists in Hilton must be going out of their minds.
Yenyewe ujaluo imepita kuwa garama ,ni hasara!
and they wonder why they don’t get shirt sponsors
Hata kama. Ako na makosa mbili:
- Working in kanjo whose work is to harass wananchi and extort bribes, yaani kazi ya laana.
- Running over a person.
That appears to be more than 1 vehicle… what about that saloon car that seems to be on fire in the first pic?
Wacha hizo bana.