Breaking News

Rais wa Zimbabwe anusurika kuuawa kufuatia mlipuko wa bomu.

https://www.youtube.com/watch?v=OMXQKU07GHY

Duuuuuuu…tumuombe mungu atuepushie haya.

Aisee. Jongwe anahusika nini?

Dah si mchezo

Hao baadhi ya walinzi walivyotimua mbio imenikumbusha Mugabe alivyowafukuza wengine kwa kushindwa kumdaka alipoanguka!

Zimbabwe President Emmerson Mnangagwa has survived an apparent bomb attack in the city of Bulawayo.
Video footage from White City Stadium appears to show an explosion happening close to Mr Mnangagwa as he was leaving the stage having addressed supporters.
While the president was unhurt, state TV reports that Vice-President Kembo Mohadi has suffered a leg injury.
President Mnangagwa came into power last November, ousting his former mentor Robert Mugabe.
The president was in Bulawayo, Zimbabwe’s second city, to campaign for his Zanu-PF party ahead of nationwide elections taking place on 30 July.
The elections are the first in Zimbabwe since Mr Mugabe was ousted after 37 years in power.
Presidential spokesman George Charamba issued a statement confirming Mr Mnangagwa was safe and recalling: “There have been multiple attempts on the president’s life over the past five years.”
It is not clear how severe the injuries to Second Vice-President Kembo Mohadi are.
Zimbabwe’s First Vice-President, Constantino Chiwenga, and his wife, suffered minor injuries, Reuters news agency reports.
The Zimbabwe Herald newspaper described the explosion as an assassination attempt on the president.
State broadcaster ZBC also reported that Zanu PF national chairman Oppah Muchinguri-Kashiri and some ZBC crew members were also injured

Pole zao kwa majeruhi.

Kuna watu hawakupenda huu upinduzi kwa Mugabe ndio maana wanamuandama Mnangagwa

Duuuh hizi siasa za Africa yataka moyo sana kwa kweli

Hakuna wa kumlipua huyu pogba?

https://www.youtube.com/watch?v=OrW6k2Dgst4

Hatari

Kabisa aisee na Waziri Mkuu wa Ethiopia naye
leo hii kakoswa koswa na bomu kwenye umati wa watu ambapo alikuwa ahutubie. Naona mbele kwa mbele na mabomu.

Tegemea ulinzi mzito zaidi kuongezwa kwa bwana Jabali(jwe)…

Hili ni funzo kwa serikali za Afrika ziache kuburuza watu… maridhiano ndio msingi wa ustawi wa Taifa.

Hujakosea kabisa Mkuu, na dada wa Taifa akitangaza tena maandamano nchini huo mkwara wake utakuwa si wa kawaida ule mkwara wa April 26 utakuwa ni cha mtoto.

Jongwe anawatu waaminifu kwake kila idara, kuanzia serikalini, kwenye chama na hasa kwenye Majeshi.

How Comrade RG Mugabe could stay away from this issue? probably could be the first suspect ‍♂️‍♂️.

Without any doubt Mkuu. Mugabe is the first suspect of this assassination attempt.

Pole yao aiseee

Sure Bro this is beyond politics we used to know ‍♂️‍♂️‍♂️