brethrens

nimepatana na gems, your days ya kuweka padbolts Kwa Milango ya ndani ya nyumba is over, Niko na 60pcs za 2 levers locks, union na Yale ,leteni biashara sasa

Shtua mundu mulosi anafungua hardware.

ni second hand foreman, hio kahardware take hawezi stock locks za 2500,ni hardware ya plastic basins,jugs,nails,yaani tuvitu cheap cheap

Weka picha wakameat.

kesho nitakuwekea sample

Tunatumia biometrics padlocks na hatusumbuiā€¦

he he he, na your fellow mod alikuwa anatuuliza atanunua Wapi maplastic na hizo Makasia zingine akaweke malimali kimilili, Kwani purpleste halipi nyinyi?

Ilikuwa spare parts za kisiagi.

photo samples. am interested

Niko na exposee ya @Purple na other admins.

Meffi in ma eyes. I am an arab

Ndio hizi sample [ATTACH=full]245277[/ATTACH][ATTACH=full]245276[/ATTACH]

Taj mall loot :D:D:D:D

Unanunua ama ni kiherehere tu?

Niaje @Mfalme Bingwa Scrotum

Nanunua kiherehere , uko na kilo ngapi ?