Britexit worries about strawberry pickers

+255in

Senior Villager
#5
Nyie hamjui mchezo waafrika tunachezewa na wazungu?
Wanawatumia wafanyibiashara ya watu kununua watu huko northwestern afrika na kuwasafirisha hadi pwani ya Spain na Italy na kuwatelekeza hapo..kisha wanaanza kurushiana Mpira..huyu wapokee wewe ...na yule anasema wapokee wewe..watumwa wanapigwa danadana wee hadi wana choka kisha inatokea ile nchi iliyokuwa inawahitaji na kuwachukua kama kuwasaidia kumbe ulikuwa ni mpango uliokuwa umechorwa yangu mwanzo..na kuwapeleka mashambani.
 

Top