Broken News!

Status
Not open for further replies.

Meria Mata

Elder Statesman
#14
Wapenzi wa mitandao katika kaunti ya Nakuru wana kila sababu ya kutabasamu baada ya serikali ya kaunti hiyo kuzindua WiFi ya bila malipo katika kaunti hiyo.

Wenyeji wa kaunti hiyo wanapata huduma ya WiFi ya bure katika sehemu zote za umma kwenye kaunti hiyo.
Kama ilivyo kawaida mabingwa wa hii kijiji hawakupoteza wakati na walihamia huko mara moja.
kwa mbisha munamuona @Deorro@highschooler na @Web Dev@Unicornis camera shy lakini pia yuko
Picha ya free wifi watatuma

if you also plan to go there see @ol monk for password, akiitisha pesa please notify @Wakanyama
 
Status
Not open for further replies.
Top