Bubu

Deep sea

Senior Villager
#1
hapo cbd Tom mboya street nilikuwa nimedondoka mat za eisich nikaamua kungoja Arif tuendanishe naye. si nikadunga hema hapo tu stage, ata dakika nusu haikuisha chokoraa pipa flani akakam kuniomba pesa nikaamua nimnyamazie tu. outta no where akatoa paper bag iko na kinyesi akaniambia atanipaka kwa uso kaa simpei mia na hatanihurumia. eh mtu wenyu wa mungu alianza kuongea guesswork ya sign language nikatoa sura ile yangu ya huruma lakini wapi. akaniambia wewe Sasa utakufa ntakudunga sindano Niko nazo na iko na ukimwi alafu anipake mavi akanishow niharakishe kumpea pesa. ati kwanza Sasa amekasirika namdai Mia tano, saa hio wale wamama walikua kando yangu washajipa shugli na kuniwacha solo kwa ngori. bado tu narusha rusha tumkono nikijifanya sijui kuskia mi Ni bubu aongee sign language tuwelewane sahio kwa porii Niko na thao nne. mungu naye halali ule msee nilikuwa nategea akafika scene, alikua mninja amejitambua kiusnipper alimpiga sweep akadunda chini. akaniuliza kaa ananisanya, hapo ndio bubu wenyu akaongea nikamshow alidai kunipaka shonde. yy ni Nani aliichukuwa na kumpaka kwa kichwa akampiga ngumi ya kahasho mi nikamkanyanga uchungu na pams kwa mguu na tukaenda. sema team building ya mtu mbekse.... lakini wakenya mbona hamsaidianagi mtu anaibwa tu mkiangalia mbaki mkimuuliza wamekuiba mammy pole karibu Nairobi. hio ukiritimba muwache
 
mswazi

Village Elder
#3
Kuna ule alijaribu huo ufala kitambo pale stage ya kariobangi jioni. Nilimwambia angekuja asubuhi kama naenda job juu saa hizo ningemind kuenda ofisi nikinuka mafi lakini jioni sikuwa na anything to lose. Nilimchapa kofi mwoto na sweep mara hio hio alafu nikawacha watu wamuchangamkie :D:D:D aliamka hapo na manundu mob sana kama ametoka mbio
 
Ken_Sarro

Village Elder
#14

:D:D:D:D next time hata jaribu hio ujinga na majamaa. itabidi waishi kutafuta weaklings, tudem na wamama
 
Ken_Sarro

Village Elder
#15
hapo cbd Tom mboya street nilikuwa nimedondoka mat za eisich nikaamua kungoja Arif tuendanishe naye. si nikadunga hema hapo tu stage, ata dakika nusu haikuisha chokoraa pipa flani akakam kuniomba pesa nikaamua nimnyamazie tu. outta no where akatoa paper bag iko na kinyesi akaniambia atanipaka kwa uso kaa simpei mia na hatanihurumia. eh mtu wenyu wa mungu alianza kuongea guesswork ya sign language nikatoa sura ile yangu ya huruma lakini wapi. akaniambia wewe Sasa utakufa ntakudunga sindano Niko nazo na iko na ukimwi alafu anipake mavi akanishow niharakishe kumpea pesa. ati kwanza Sasa amekasirika namdai Mia tano, saa hio wale wamama walikua kando yangu washajipa shugli na kuniwacha solo kwa ngori. bado tu narusha rusha tumkono nikijifanya sijui kuskia mi Ni bubu aongee sign language tuwelewane sahio kwa porii Niko na thao nne. mungu naye halali ule msee nilikuwa nategea akafika scene, alikua mninja amejitambua kiusnipper alimpiga sweep akadunda chini. akaniuliza kaa ananisanya, hapo ndio bubu wenyu akaongea nikamshow alidai kunipaka shonde. yy ni Nani aliichukuwa na kumpaka kwa kichwa akampiga ngumi ya kahasho mi nikamkanyanga uchungu na pams kwa mguu na tukaenda. sema team building ya mtu mbekse.... lakini wakenya mbona hamsaidianagi mtu anaibwa tu mkiangalia mbaki mkimuuliza wamekuiba mammy pole karibu Nairobi. hio ukiritimba muwache
hekaya imeweza aisee, keep em rolling.
 
WuTang

Village Sponsor
#20
Kuna ule alijaribu huo ufala kitambo pale stage ya kariobangi jioni. Nilimwambia angekuja asubuhi kama naenda job juu saa hizo ningemind kuenda ofisi nikinuka mafi lakini jioni sikuwa na anything to lose. Nilimchapa kofi mwoto na sweep mara hio hio alafu nikawacha watu wamuchangamkie :D:D:D aliamka hapo na manundu mob sana kama ametoka mbio
Niaje msee wa kanyama?
 
Top