Bubu

hapo cbd Tom mboya street nilikuwa nimedondoka mat za eisich nikaamua kungoja Arif tuendanishe naye. si nikadunga hema hapo tu stage, ata dakika nusu haikuisha chokoraa pipa flani akakam kuniomba pesa nikaamua nimnyamazie tu. outta no where akatoa paper bag iko na kinyesi akaniambia atanipaka kwa uso kaa simpei mia na hatanihurumia. eh mtu wenyu wa mungu alianza kuongea guesswork ya sign language nikatoa sura ile yangu ya huruma lakini wapi. akaniambia wewe Sasa utakufa ntakudunga sindano Niko nazo na iko na ukimwi alafu anipake mavi akanishow niharakishe kumpea pesa. ati kwanza Sasa amekasirika namdai Mia tano, saa hio wale wamama walikua kando yangu washajipa shugli na kuniwacha solo kwa ngori. bado tu narusha rusha tumkono nikijifanya sijui kuskia mi Ni bubu aongee sign language tuwelewane sahio kwa porii Niko na thao nne. mungu naye halali ule msee nilikuwa nategea akafika scene, alikua mninja amejitambua kiusnipper alimpiga sweep akadunda chini. akaniuliza kaa ananisanya, hapo ndio bubu wenyu akaongea nikamshow alidai kunipaka shonde. yy ni Nani aliichukuwa na kumpaka kwa kichwa akampiga ngumi ya kahasho mi nikamkanyanga uchungu na pams kwa mguu na tukaenda. sema team building ya mtu mbekse… lakini wakenya mbona hamsaidianagi mtu anaibwa tu mkiangalia mbaki mkimuuliza wamekuiba mammy pole karibu Nairobi. hio ukiritimba muwache

(Pam’s). Hehehe

Kuna ule alijaribu huo ufala kitambo pale stage ya kariobangi jioni. Nilimwambia angekuja asubuhi kama naenda job juu saa hizo ningemind kuenda ofisi nikinuka mafi lakini jioni sikuwa na anything to lose. Nilimchapa kofi mwoto na sweep mara hio hio alafu nikawacha watu wamuchangamkie :D:D:D aliamka hapo na manundu mob sana kama ametoka mbio

Shemale niaje. Io language yako haiendani na gender kapsa

:D:D:D

Hio tabia iko sana na machokosh around St. Peters…main target ni tudem ama wamama…

Arif aliosha mkono wapi ama alipaka kwa weave yako?

Who says ‘ladies’ do not have street cred… @Deep sea uko poa

https://images7.memedroid.com/images/UPLOADED197/564ba1866ba4d.jpeg

huyu ni mwanaume most likely @MANKY ama yule jamaa wa Gaza gang nimesahau jina yake

:smiley:

it took a while but i finally got the joke she is a lady in a man’s toilet

Nope you didnt get the joke either. She’s a shemale.

:D:D:D:D next time hata jaribu hio ujinga na majamaa. itabidi waishi kutafuta weaklings, tudem na wamama

hekaya imeweza aisee, keep em rolling.

Kwani mnataka kumkamua?

Unajaribu kusema @Deep sea ni mama

@Deep sea is a slum near Westlands

Kitu kama hiyo…

Niaje msee wa kanyama?