Bully Teacher Pt2

After refusing to read to form ones what I had been reading in class, the mod led me outside to the handball pitch. Here, I was to follow instructions the way he dictated them and he warned me that if I didn’t coperate, this case was going to the principal the first thing in the morning so I had no choice.
Tulianza na push ups, nikamchapia mia faster faster coz nlikuwa mtu wa sports, mazoezi haikuwa shida kwangu. Next was cartwheel from goal to goal. I was ordered around until kitu 11 pm hapo wakati form fours wanaenda dorms kulala. Maze ile frog jump nilifanya that night. It was an exercise of roughly 3hrs. Akaniachilia eventually.
So I went straight to my bed, I was damn tired n slept like a baby. First bell for morning preps ilikuanga 430am, niliinua kichwa nikapata nimechoka, nikaamua naextend. Niliamka vizuuuri, nikadunga full school uniform as if naenda class pia, that is half sweater, full sweater, blazer, longi mbili na socks mbili pia na nikarudi kwa bed watu wakienda daro.
Nikaangusha bedsheet ya son kwa side moja ya bed na nikafunga towel hiyo side ya miguu na nikadoze, bila wasiwasi. Bed ilikuwa kwa ukuta so the other side was covered, we used to call it last cube.
Usingizi nayo haikuchelewa coz ile njeve ilikuwa hizo sides ni ile ukibreathe unatoa moshi kwa mdomo. Yule jinga wa last night bado ako duty na hiyo asubuhi akaamua kupatrol, saitan! His first destination was my window, fala akaja akanikosa. Mara hiyo akaendea dorm capt wetu alikuwa stream tofauti na yetu, waende dorm anataka kujua kama kuna majangili wamelala bado. Vile walikam
hata sikuskia hiyo door ikifunguliwa, nlikuwa nimezikwenda mbaya. Mi nlishtukia torch kwa uso na bare ile serious. Kumbe tulikuwa watu kama sita ivi, at least siko solo. He fished us all out, hata kuna jamaa alishaingia chini ya bed, akatolewa na mabare kadhaa. Haya kila mtu atoke na bedding zake na tumfuate. Maze fala alitupeleka mbele ya staffroom na akatuambia tumalizie usingizi hapo kwa hiyo njeve. Nikajichocha na blankets zangu mbili na nikadose mpaka seven usingizi ikawa replaced na uoga. Watu wakaenda assembly, classes, sisi bado tumelala pale mbele ya staffroom. Walimu walikuwa wanakuja watufunua kuona hizo sura tu wakienda. Uzuri hatukuchapwa wala sus hatukupewa but we had to sleep there until 3pm.
By 8 am, solar ilitoka ile kali but hakuna kupunguza mavazi wala kutoa blanket. Saa nne, tukaendea chai, tukarudi hapo hapo. Saa saba tukaendea githeri na tukarudi afternoon nap hapo hapo.
To sum it all up, we ended with a football match against form one combined, sisi watu sita tukiwa tumevaa full school uniform na huyo fala akiwa ref. He enjoyed every minute of our ordeal and thank God he didn’t mention the previous night incident. Mr, wherever you are, you were heartless, I hope uliacha fangi.

Hekaya poa. Reminds me of high school. Lakini wewe ulikuwa mpole sana hadi huyo mwalimu akakudharau.

Zii, he was the most feared teacher after dep na principal.

Hiyo ya kuskive morning preps. We used to get form ones matresses with the bedsheets and blankets already made and place it keenly on a sleeping Senior student.

Teacher on duty could patrol the dorms till kingdom come and He couldn’t find us till one certain character taller than the bed pulled such a stunt. For the mattress to remain on top one had to sleep flat and not turn. When flat the characters legs protruded in the corridor. They secret was blown.

nakumbuka beste yangu alionewa na mwarimu alipomada chuo akakua gsu walipopatana alimweka ndan

:eek::eek: that’s Savage

Hehheh… kuamka 4:30 nlilala for the 4yrs and punishments za kuosha nlifanya mob

where is part 1?

:D:D:D:D:D:D:D:D seems all teachers had the same punishment manual. sisi tulilala kwa field ,to make it worse when the midday sun ponyokad we were ordered to lie facing up for another hour…then he poured cold water on us when we complained about the hot sun …Teacher M, you were a ferkin perv! May we never meet again.

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/bully-teacher.75235/

haha you have evoked some memories back then I skipped preps alot, the place was also cold AF

why do I have a feeling we were in the same school… or is it that we just used the same punishment syllabus!!

Maybe, ulisomea wapi?

Hekaya on point

NBHs

Correct, which year?

2009-2012

Was there from 99 to 02

OF happy endings… :D:D:D

Huyo mwalim alikuwa rungu ama shimo?