Burdizzo

[ATTACH=full]248354[/ATTACH]the bandwagon is gaining momentum. In my right mind I cannot dare be castrated. Let’s fill the world

Hao ghassia wa Kakamega wako na shida gani ?

Unafikiri nyinyi wa bungoma ndio hamna shida

Uncle afande @pamba alisema amepanda mbegu kila soko from Kiboswa,Khayega,Vihiga all the way to Busia border…

ule jeshi anakuanga hapa ako na PC ya nguvu ako na watoi?

Wacha mchezo mimi nilipanda mbegu bungoma, Nairobi saa hii na palilia Ethiopia kwa wajukuu wa king Solomon, mbica siweki.

Afisa wakilisha sisi vizuri pande hiyo

Sitoki huko @bure

Omwami ulisema gari za kuenda Ethiopia Asmara zinapandiwa wapi. Huko lazima nitembee nisefiche thiokora.

@FieldMarshal CouchP likes this.

Eastleigh 10 Street tafuta moyale raha, from Nairobi to moyale 776 kms lami tupu, safari ni ya usiku pekee.

Hizo nyau zao ziko tight ama ni majimaji rebellion kama za Madada wetu wa stronghold.

Chonjo shida ni lugha, utatumia signs.

Hawajui usungu. Itabidii nijifunze Amharic. Naskia Kwanza nywele zao ndio hufanya wanaume watoe pesa ile ilikuwa imefichwa kwa ngotha.

Ukivuka moyale Ethiopia Uliza club inaitwa Taye you will be sorted coz Kuna interpreter

Na hope huko pia nitapata rendille. This women are beautiful.

Rendile enda chalbi desert.

Naskia pia hao wameweza mbaya. Na hawana upuzi ya dini chieth.

Wakristo.

Lakini ni warembo ama ni orangutan. Hakuna haja nichomee fare kwenda Ethiopia na hapa Kenya kuna vienyeji swafi.