Burnley wanauwa nyoka

First half
Chelsea 0- burnley 3
Cahil red carded.

1 Like

Hiyo bao ya pili! Moto sana

2 Likes

Prediction: mechi will end 1-5

Conte is being Mourinhoed by the players. Hawamtaki

2 Likes

:smiley: :smiley: :smiley: :smiley: :smiley:

1 Like

hehe…siamini kile naona…vokes anakaa kama nguruwe but ni lethal. Mani, sweetie @Miss Finest Wine ona chelsea yako. :D:D:D:D

1 Like

Sioni ikiisha hivyo.

1 Like

Vile wameweka Morata chelsea wameanza kuchangamka.

1 Like

Haki nalia for real :(:(:(:frowning: na vile niliamka wearing blue from the bra to all else, just the hair. This is bad.
Furthermore tumeunda fantasy teams at work so I face further humiliation.

Huyu ref pan tambua opuss!

Hehe…ebu nitumie picha nihakikishe kama ni ukweli ama uongo…na btw unatumia fantasy premier league ama? If that is the case ingia kwa league ya Ktalk. Code unaweza itisha @Deorro

Nitatuma nikilianga. There is a guy in the Stats team that has got us together so not coming to the KTALK one. Ateee Burnley tumundu twa migunda like Muchatha FC …:(:(:(:frowning: I am a Chelsea diehard fan!!! lakini wharissthat?thought our defence was tight.
Can give you the number if you wish.

1 Like

Ebu tuma…:D:D:DI believe you can join multiple leagues. Number ni code ya league ama??

Chelsea naona wakianza kuitisha form 34A…
Lkn wamejaribu comeback ikakataa

1 Like

Will do. I will not be joining the KTALK one for other reasons kuja yetu when I give you the deets.

Hizo reasons ndio nataka kujua…nitaingia yenu no problem. Let me have the code.

Captain Cahill should take the blame. A captain should not be making irresponsible tackles.

1 Like

Cahill kwanza ako kwa team yangu ya fantasy. Amenipatia negative balance ata before season ianze vizuri…meffi yeye.

2 Likes

:D:D:D -3

Ziko kwa inbox shortly.