Hio hussle yote juu ya mia tano .. enyewe uchumi ni mbaya saidi uko nje. Nakumbuka Ile time walibadilisha doo.. mukoro kuna 166k alisahau (misplaced) kwa an old bag of hers, alirudi kuipata Dec akisort vitu za kudonate church reserve uko kwao baragoi. Ilibidi tumechoma kwa bonfire Christmas Eve .. tukisherekea pole pole. Iliniuma kiasi but turned out to be a fun night na ndo nikajua pesa kweli ni kartasi tu.