Bus Passengers Poleni

its now official, buses must pass by weighbridges to have their axel load taken, this was long overdue as buses zingine hubeba kuliko msedes ya tri axel.
msitafute saana nani alisnitch ni huyu
[ATTACH=full]261345[/ATTACH]
story iko hapa
https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/punguza-mizigo-initiative-gari-lazima-irudishe-pesa.120016/
so if you regurally use buses jipatie afew more hrs on the rd juu Truckers hatutampisha bus drivers kwa weighbridge, wafuate foleni, jinga sana hii watu
[ATTACH=full]261346[/ATTACH]

meona hii kapenda sanaa.
well done UK Konyagi on me tonight
gazetted weighbridges ni hizi
[ATTACH=full]261347[/ATTACH]
na msisahau pia kunakuaga na mizani ya mkeka
mobile weighbridge, kwisha nyinyi ghaseer
https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/mizani-ya-mkeka.60868/

Coz of convenience kutawekwa weigh ridge za busses. Wadosi hawaezi kubali kitunguu yao iungue wakiona

hakuna kitu kaa hio mkumbwa, hatutakubali
https://www.kenha.co.ke/index.php/weigh-bridge.html?showall=1&fbclid=IwAR2Is9nzJIS_fCd_Rug7vVWfkLqTg6Gni6gvzXplmTVWY81GFa1kRyL0Oyg

Impossible, watafanya tu kama tz, buses are given a right of way over trucks at the weighbridge

ohhh nooo
hope we dont go the TZ way

Hahaha, we ni mmoja sisi tuko 50+2

@Meria Mata ebu waekee fines za overloading.

Una imagine trailer imebeba clinker or cement ikipanga line kwa weighbridge with a bus full of, pregnant women, school going kids, elderly people etc…:D:D:Dthat is impossible

Weigh ridge ya Juja itakua ikishughulikia Kenya Mpya peke yake. Those busses are like one million

haisuru

Our weighbridges queues are already long enough. They should have consulted KeNHA first and let them build more facilities for PSV buses before this is implemented. Lakini tunajua tu vile that CS transport macharia works, talks first then thinks later.

hehehe, kazi kwa shuttles sasa juu jam ya kenya Ua itakua yaanza witeithie

earlier today huko timboroa kwa kina @Tarantinoh msedes took a groundie
[ATTACH=full]261349[/ATTACH][ATTACH=full]261350[/ATTACH][ATTACH=full]261351[/ATTACH][ATTACH=full]261352[/ATTACH]

This is becoming the norm.

I think the issue here ni long distance buses only kama za western, ukambani kwanza are notorious with overloading…surely whats the difference between kenya mpya na forward travellers? Town service buses dont require being weighed.

Nani anakumbuka ile story ya mumeru na weigh bridge ya mkeka…

But Kenyans just need law and order.

Story gani hiyo?

Itabidi uite ice cube. Ilikuwa last year.

Melia ameweka link hapo juu kwa post yake.
Mizani ya Mkeka - Hekaya - Kenya Talk

Niulizie kashamba hapo