BUYING A 2ND HAND VEHICLE

Can someone explain to me the steps to take when buying a used vehicle like a 2 year old… What are the red flags, what is the cost of transfer at NTSA for a 1-13cc. How do I transfer insurance, how much is insurance, which is the best insurance, I hear people talking about comprehensive etc. Explain to me like a kid… Use drawings where applicable, Thenkyu

Makanika murrefi @introvert kuja na sketch ya motogari ya 13cc priss. Ama in ile uliunda ya wire.

1-13cc kwani ni motorbike…ama baiskeli?

You can’t be told everything, some of these things have to be leant through experience

1000_1300

Red flags then

Inbox makanika.

Itisha photocopy ya log book ufanye search kwa ntsa/kra. Endesha gari in all terrains. Insurance hainanga transfer iki expire you can buy from your preferred broker. Comprehensive defers but usually covers theft, fire, water, political violence. Etc. Gari ikiibiwa unaweza lipwa ingine.

Insurance cannot be transferred, gari ikiuzwa the previous insurance is null.

But you can claim the balance of the remaining months from your insurer…I was refunded at one point though ilikuwa equity insurance…

The worst ni kununua gari imeibiwa

ndugu apron uliacha wapi?

:D:D:D

How do I avoid this?

Kibarua sana hapo. Niko na experience ya gari ya wizi, gari yenyewe ilikuwa safi sana ya bazaar. Atleast online search and transfer inasadia. Ukiamua kununua mtaani pitia kwa ocs kwanza ujue kama iko reported stolen. Worry about transfer of the vehicle online sio transfer of insurance

Fanya mahesabu yako poa pia. You may end up buying a junk which may cost you more for mechanical problems not disclosed and maintenance baba, while you could have bought a salvage and watch it transpose ofcourse with a good mechanic.
Hio ndio maana kama hutaki kubuy gari kutoka kwa beste yako yenye unaiona, then heri you import

First, angalia body kama iko poa. Second, tafta mechani mpige test.
It’s good to ask from friends anyone selling, reference huwa on point.

At what exact point should I pay?

Gari second hand nunua body. very few buyers can inspect the body well because kenyans are used to junk. I know for fact that only 1 in 100 vehicles you are interested enough will have original paint with a good shiny factory clearcoat. Alafu nunua gari kama toyota kama huna pesa mingi sana spare second hand itakuwa rahisi kupata. alafu mwenye anakuuzia lazma jina yake iwe kwa tims system na iwe kwa logbook. kama hajaprint logbook na jina yake the transaction online wont go through. gari itabaki kwa jina yake pale ntsa hadi aprint logbook na jina yake akupatie. I learnt this the hard way dealer aliniuzia gari safi sana cash alafu ilikuwa kwa jina yake pale tims na hajaprint logbook. logbook ilikuwa ni ya msee alikuwa ameingiza hiyo gari like six months earlier. nimelipa na amenipatia logbook lakini transfer imekataa. we did the online transfer after four months vile hakuwa na haraka ya kutoa logbook yake. namtafuta napata ata alipanda ndege alienda atarudi sijui next month. mimi ilibidi nimetulia na logbook ya mtu sijui na gari iko kwa jina ya dealer pale tims. very uncomfortable situation. siku hizi si kama kitambo mtu alikuwa anakupatia gari na makaratasi with strange names unaenda unaweka alafu unazipitisha kwa next owner.

Kama uko na 600 better import