If you are budgeting to buy a car don't buy it at all. Gari ni kama mtoto...high maintenance. Battery imekufa, headlights zimeibiwa, side mirror imengolewa na punda, tire imepasuka, hairegulate heat vizuri kwa engine..utaiwekelea juu ya mawe na usahau ulikuwa na gari.