Buying from Jumia

Hamjambo wadau wa kijiji hiki? Nimenuwia kununua kipatakilishi chenye muundo wa Kichina. Mashine yenyewe ni Yepo 737s 4 GB/64GB. Maswali yangu ni je:

Yuko mdau yeyote hapa kijijini ashawahi kununua kitu kwenye mtandao wa Jumia?
naombeni maoni hebu kuhusu machine hii

Picha ndo hizi hapa chini[ATTACH=full]120320[/ATTACH] [ATTACH=full]120321[/ATTACH] [ATTACH=full]120321[/ATTACH] [ATTACH=full]120321[/ATTACH] [ATTACH=full]120320[/ATTACH] [ATTACH=full]120321[/ATTACH]

If you are asking about their services, I once ordered a product which they delivered. They charged me for delivering out of Nairobi (I am in Thika). Shock on me, I must pick from their collection point. In short I was better off buying the damn product in Thika or even Nairobi. Bure kabisa.

1 Like

[I]T

Thanks for the heads up LeoK. I greatly appreciate it[/I]

Jameni unakiswahili kizuri .lakini jumia siiamini vile watu wenye wamenunua kutoka huko hawajapeana reviews mzuri .[SIZE=2]Reviews ni nini na swa[/SIZE]

1 Like

reeviiyu… weka kicoast ukitamka

4 Likes

Nashukuru kwa maoni yako. Mi ni mkaazi wa kaunti nambari 006 na tumezoea kuongea Kiswahili. Ila hilo sio swala husika hapa. Nitaepua epua mitandao nisome hizi ‘reviews’

2 Likes

Samahani lakini vidole zimeniwasha singeeza stahimili kuufunga uzi bila kuuliza, ulikua uandike pekua pekua ?

1 Like

kuepua nathani nikuondo lakini labda inamaana ya kuchambua

2 Likes

I have seen this yepo first hand.
The 2/32 GB one. veeeery slick. resembles a MacBook air but chini pekee ndio aluminium, the rest ni plastic.
haina movable parts (fan /hard drive) so it’s completely silent.

The bad part is it’s repairability. ukifungua ndani, unapata motherboard kadogo size ya infinix,woofers na battery pekee.

1 Like

Funguas kamusi

Lakini hata kama…

Kijiko kidogo pia inachota mchuzi

Buy that at your own peril. You’re better off getting an abacus and doing your powerpoints from there.

4 Likes

Did you expect free delivery ?
Bought a phone in 2013 and still fine .Go for it , they have service centre at Cardinal Otunga house.kindly ask for their terms .

Jumia ni bure kabisa I chose pick up point story zinaanza iko huko ukienda kuchukua hakuna

1 Like

Hehehe…unasema hiyo kitu is a 33.5cm x 22.3cm Infinix?

Where exactly did I imply I expected free delivery?

Mwandani mie naitwa @syndicate , nauza hizi bithaa kwa wingi sana. Laptop, TVs, Home theater na kathalika. Pia mimi hufanyia mtu free delivari hadi mastakimu humu Nairobi. Lakini kama mteja akiwa nje la jiji kuu basi tuna gawana garama ya nauli.
Sema nami mdau mwenza

2 Likes

@LeoK u should have contacted me for any electronic and other type of assets. I deliver free of charge. And my products are always fare than jumia.
Talk to me, i never disappoint in business

My friend @Villain next time you need any electronic or other type of products just contact me, i will always furnish you at discounted price.
I have a good reputation around here.

I have heard guys complain about the products they advertise and what they deliver. I would recommend buying from avechi. They have fair prices so far compared yo jumia and kilimall.

They send same product within 24hrs and of course you will pay a small delivery fee.

On other news… Contact the village guru, ktalk transparency accredited expert Mr. @syndicate

1 Like