Calif records

#2
i doubt kama walewatu walianzia uko wako still..but heri angewacha ikae tu hapo kalif..it sold more ikiwa hapo i think..Reminds me of my red t-shirt ya calif records..wore it during ALL chaguo la teeniez award..it was quite the in thing then
 
#4
Meja alilipa landlord??
alirealise jana kuliendaje the previous day .. akaamua atalipa kwanza.so akaenda nyeri kwa bro yake mwenye alikuwa ameandikia barua kusema ako poa.Huko akaget masufuria akaanza kuziuza blackmarket hamsini za leo za leo.Akapata tudo akaanza kufurahia maisha..akakula sana hadi akaanza kunyongwa..na hapo ndio akarealise raundi hii si mchezo..na akicheza atakufaa juu....the last time nilimwona alikuwa amekujiwa na ambulance juu ya bablas (hangover) ya kuekewa mchele.but nikasema nimsiba ya kujitakia juu yeye ndio alichocha ati no woman no party
 
hakimoto

Village Chief
#5
N

Ndio akaanza ku double tap..
 
#9
Calif records and Ogopa deejays died a natural death..
with calif,clemo was strict kidogo on content openly obscene..though currently ndio zinasell..plus wale artists wazito walipoenda ikaisha..Flexx alienda majuu,nonini akaanza kurecord na decimal ya musyoka,size 8 kakaanza gospel,pilipili started his own label,jimwat ni kajunkie,...plus the emergence of many radio stations kukatokea many brokers na yeye alikuwa amezoea traditional modes of promoting ngomaz and soliciting for airplay.
 
Bigfish1

Village Elder
#11
Go on youtube and search for CTA, it's a channel by a guy called Astar, and he interviews people who have been in the music industry. The recent interview is of juakali.
Calif never died, they just shifted their core business from active music production.
The environment changes and people position themselves differently as they grow older.
 
Top