Calling on @Nattydread

#4
How are you doing, my Friend?

Waonaje utuwekee ile countdown clock yako ya kuhesabu siku za safari ya Bondo?

Waonaje tumwombe @admin a-pin hiyo saa, hadi siku ya uchaguzi?

Waonaje niki-suggest hiyo thread iwe neutral?

Maoni yangu tu!!!
This here post is not neutral itself. And you ask that the pinned thread be neutral.

I will not ask what you been smoking nor will I say that this is stupid...
 

Top