Car muffler exhaust

where can i get a car muffler exhaust

Under any vehicle…

exhaust muffler?

Simama nyuma ya lori zinatoanga exhaust mingi kwa muffler yake.

[ATTACH=full]99680[/ATTACH]

:D:D ulianza kuvuruta bangi lini

Enda kwa makanika wa gas welding wa ma exhaust atakuchanua

:D:D:D
Shait.

Hii imeweza nayo. Inaitwa hard truth

juu hapa ni masweep tu, wacha nikusaidie.

check olx.co.ke

then come and tell us

enda kasarani shopping center next to stage ya mwiki, there’s a guy who can hook you up…

I need that one kama ya subaru aiii yawa

Thanks alot uku unaeza ata tumwa kwa engine kutafuta exhaust aiii

its the kijiji’s way of welcoming NVs