Car Problem

I am not enjoying a smooth ride anymore kwa jalopy. Ni kama inajisukuma mbele ikiacha when I am over 80km/hr making the ride rough even on a smooth road. What might be the problem :mad::mad:

it is masturbating …ngoja imwage na itakuwa poa

[SIZE=1](talkers’ kind of answers)[/SIZE]

Bingwa…akili zako ni nono…na mtihani ni kichungi zilikataa kupita.

Imekuwa hivyo how long? If its a recent thing inaweza kuwa ngata ndio mbaya

…experienced that after fueling excellium, was behaving that way in lower gear but ikichange to a higher gear, it moves ok…i suspect fuel…i also suspect gari engine ni 1nz-fe…i think as they are adding, additives kwa hii excellium yao, kuna wakati wanaweka overdose

Wow. 100% assessment. Niliweka exellium juzi full tank. Engine ni nze … sasa nimejua shida…sifuel hapo tena na nze

…i experienced that once…on madaraka day…gari ina shake ku shake…kwanza watu wenye wamekaa back seat ni ndombolo,apart from that one case, excellium naipenda

shida si petrol station, shida ni hiyo batch, imebatizwa sana na additives, labda

Ni recent. Na ni exactly vile @Mombasa amesema. I started feeling exellium lately, na engine ni nze…the fact that iko exactly vile amesema na hakuwa anajua beforehand inamaanisha that may be the problem

Siguzi mafuta ya total Tena.

na vile inaokolea na hii economy…haiishi…siku hizi mafuta ya 500 karibu ifikie mafuta ya 1k ya other petrol stations. interms of km/l

Hiyo behavior haikunibamba. Can’t risk

umejaribu kulipa madeni ?

Waaah! Thanks. That shaking made me stop at superhighway thinking I have puncture. So long excellium!

OSHA throttle body na uchange spark plugs. Change ATF filter and fluid while at it.

…i dont see the neccessity of changing the atf plus the filter

Probably mafuta iko na paraffin. Check if the shaking persists uki refill

Kumbe tuko wengi:D

I did not want you to see.:D:D:D

Kwani regular ilirudi ilikuanga na hio tabia