Carabao cup

Tafzali arsenal kamua i jinga manchieth.

2-1 final score in favor of gunners

:D:D now is Mancity 1 - arsenal 0

Iko channel gani wadau? Nimeuliza nyang’au za Chelsea na Man-u kwa thread ingine zinanilenga tu.

Mimi nina stream

weka link please mimi ni nyang’au ya chelsea ambayo iko stranded kama mod

Link mkubwa.

hehe not watching this game, but how did bravo assist aguero?

He he he, pole, Lingard ni meffi sana.

www.streamendous.com

Long pass from the post ika land behind mustafi

Game is live on Sky Sports Football HD. Man city leading 1 nil. Apana tambua dstv.

www.streamendous.com

Endeni periscope
[ATTACH=full]159587[/ATTACH]

Hehe…naskia inastreamiwa na camera ya simu pale fb.

Nawatch kwa laptop

Dimsports
[ATTACH=full]159589[/ATTACH]

Defence walikuwa wanafanya nini sasa?

Mustafi ni ngombe sana

Hii team ndogo inakuwanga hivyo

We need at least six new players to be honest.

Lakini sasa those arsenal fans who transfered to man city in the January transfer window are finding it hard to hide their feelings. :D:D:D:D:D:D:D

TOJ