CBD theft...

Yesterday when in town, decided to get a haircut nikingoja simu yangu ishugulikiwe…
What I saw next traumatized me…
There was a huge group of chokoraas rough estimate they were well over 100 jogging at a brisk pace and robbing anyone they met along the street, this took place within a few seconds na walisanya almost everyone on the particular stretch…
Jamaa wa kinyozi aliniambia it has become very common especially maweekend. They usually emerge kutoka syd za muthurwa n after the lap wanarudi huko and progressively disperse…

No CBD for another long time.

Shida ya kuvaa suti CBD

wacha kunyolewa river rodi

Happens alot… Kenya tume hit rock bottom…

Actually ilikua Tom mboya

That is scrary. Itafika wakati tushindwe kuenda tao

Hii huwa town gani tunaimbiwa kila saa.

Been happening for awhile now esp moi avenue !

Afande njoo CBD, tunashindwa kusaka malaya kwa amani

Niko CBD Boss, Nina stall mbili za biz river road and Latema road, I usually work around assessing the viability, but hiyo upuss sijaona. I come to Nai twice a month each fortnight.

In May nilitokewa na machokoraa wawili wakidai pesa au simu pale makutano ya latema na river road. They had some syringe with some liquid, na mimi nilikuwa nasaka malaya. I had to give them 500 wanikome, stori ya kusaka malaya nikaipumzisha usiku huo nisiende hasara zaidi.
Wewe afande hiyo patrol yako ilianza lini, ipo maeneo gani na ikiisha mna mipango gani kuhakikisha haitatizwi?

Like Joburg CBD.

Which part of Joburg? I’ve walked from Royal park to Summit club all alone at 12am na sikupata visa

so?

Ukweli

Pole mzito, but going by your profile name, is it a case of pwagu kampata pwaguzi?

Hillbrow

It happened to a guy along Moi avenue…saddest part is kulikua na @pamba hapo and hakufanya anything…aliwatch tu kama mimi…we were on opposite sides of the road sa hawakuniibia.

Hio story ya Mwizibora was stolen from my hekaya ya Mwas mdunge shindano acknowledge the source, plagiarism is a serious offense