[ATTACH=full]127020[/ATTACH] [ATTACH=full]127022[/ATTACH] [ATTACH=full]127023[/ATTACH]Omtata amefanya cbk watoe jomo kwa pesa thou wangeeka logo ya sabina joy ingekua fiti
Hii tuliona wakati FP alikua anauza 50 bob
7 Likes
Washow zi kam Mara hii. New currency, is always good business for counterfeit. Kabla wajue …watajua awajui.
1 Like
jo
I prefer the portraits of the big 5 to some old man’s face
How comes hakuna mtu ametuekea ya ngiri?
Nunua miwani ndereba.
Hizo ni photoshop.
yap cbk wamesema zitatoka kama iz
wakieka ya sabina joy utakua unaitomba ama… na utakua unatoa pesa iko na logo ya sabina joy kanisani… ngite
haha mimi ni atheist thou
1 Like
Na ya fisi itakuwa kwa coins?
They should have resized it like the dollar size
Wasikose kuweka fisi