Ccm anaejiamini kuwa anachokiamini na kukisema ni cha UKWELI KABISA AJE HAPA..

…na ninamuahidi nitajitambulisha jina langu halisi.

Ila naomba aape kuwa anaamini kuwa anachokiamini NI UKWELI MTUPU NA KAMA SI HIVYO MUNGU NINAEMUABUDU NA KUMUAMINI AMPE HAKI YAKE YEYE NA UZAO WAKE HATA KIZAZI CHA TATU NA CHA NNE KAMA ANDIKO LISEMAVYO.
Njoo wewe muumini wa ccm hii kama unaiamini na kuamini kuwa mnatenda haki.

Anaejiamini kwa hili ajitokeze

Haaaahaaaaa

Hmm! Hii ni sawa na kutafuta bikira Uswahilini! Eti mwanamke ambaye bado haja… ajitokeze hapa!.. :D:D:D

hahahaaaaaaa

Mbona tupo wengi tu aisee.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unamini nini? Kiseme hapa tukuapishe!