CCM Wameanza kulana wao kwa wao

[SIZE=7]Taarifa kutekwa tajiri kada wa CCM zazua taharuki[/SIZE]
http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/4639504/highRes/2027930/-/maxw/600/-/11wag8d/-/ZACHARIA+PIC.jpg
Mfanyabiashara maarufu na kada wa CCM, wilayani Tarime, Peter Zakaria.
[SIZE=5]Kwa ufupi[/SIZE]
Zakaria, ni mmiliki wa mabasi ya Zakaria yanayofanya safari za Musoma, Tarime kwenda maeneo mbalimbali nchini.
By Waandishi Wetu, Mwananchi [email protected]
Tarime/Musoma. Taarifa za kutoweka kwa Mfanyabiashara maarufu na kada wa CCM, wilayani Tarime, Peter Zakaria zimezua taharuki kwa wakazi wa mji huo.

Zakaria, ni mmiliki wa mabasi ya Zakaria yanayofanya safari za Musoma, Tarime kwenda maeneo mbalimbali nchini.

Awali, leo Juni 30 zilizagaa taarifa kuwa mfanyabiashara huyo ametekwa na akapatikana kisha akapelekwa hospitali ya Wilaya ya Tarime kwa matibabu.
Baada ya taarifa hizo, wakazi wa mji huo walimiminika hospitalini hapo kwa nia ya kutaka kuthibitisha kama yupo au la lakini jeshi la polisi lilifyatua mabomu ya machozi kuwatawanya.

Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorius Luoga amesema hawezi kuzungumzia tukio hilo hadi Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Tarime/Rorya atakapotoa taarifa rasmi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Polisi Tarime/Rorya, Heny Mwaibambe amesema mfanyabiashara huyo hakutekwa bali anashikiliwa kwa mahojiano lakini hakutaka kuzungumzia kwa undani suala hilo.

Kabla ya matukio haya, jana Juni 29 ilisikika milio ya risasi katika kituo cha mafuta cha mfanyabiashara huyo kilichopo Tarime mjini.
Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi za tukio hili.

https://scontent-mrs1-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-1/c12.12.155.155/s50x50/380632_259561430821505_2118454823_n.jpg?_nc_cat=0&oh=622dfc62e5d31f0f340ef5dc664b1ec2&oe=5BA45464

ITV Tanzania
1 hr ·
#HABARIZILIZOTUFIKIA:Mmiliki wa Mabasi ya Zacharia Bw Peter Zacharia anashikiliwa na vyombo vya dola mkoani Mara kwa tuhuma za kuwapiga risasi maafisa wa idara ya Usalama wa Taifa wakiwa katika majukumu yao.
Taarifa zaidi kukujia endelea kuwa nasi.
https://scontent-mrs1-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-0/p526x296/36450356_1620874854690149_8081204305723392000_n.png?_nc_cat=0&oh=893325dbc34af145a62d5edc3bd365f4&oe=5BEB8E19

https://scontent-mrs1-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-1/p50x50/27459339_1517197345044602_2853212739209599473_n.jpg?_nc_cat=0&oh=b087349912a38b23e940d4f376a66e3d&oe=5BE236DA

RadioOneStereo
20 mins ·
Kufuatia tukio la Maafisa wawili wa Idara ya usalama wa Taifa kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na mmiliki wa mabasi ya Zacharia mjini Tarime, Mwanahabari wetu #GeorgeMarato anatusimulia kwa kina kilichojiri huko.
https://scontent-mrs1-1.xx.fbcdn.net/v/t15.0-10/30833743_736119873430527_2151087194280820736_n.jpg?_nc_cat=0&oh=2320e762210e56d35faa6a8ff35c7891&oe=5BA1B29D

Pause

-1:54
Additional Visual Settings
Enter Watch And Scroll

tajiri yoyote atakayegoma kutoa mshiko kwa jiwe na mwanae katili atakutana na haya matukio
acha walane ikiwezekana wawe digested haraka halafu wakanye kwenye vyoo virefu vya shimo…mamae zao

Dikteta Magufool ndio sumu kali kwasasa hapa duniani.

Mungu anisamehe; lakini kusema ukweli ni vigumu sana kuwatenganisha ccm na uwakala wa Shetani

Hmm!..

Acha walane uchafu tupu umewajaa

Huenda Labda Ni ishu za business Tu Wala Sio chama

Mbona hilo linafahamika siku hizi!

Ilikuwaje akarushiana risasi na maafisa usalama?

Kuna taarifa mbaya toka Mara (Tarime) hajizadhibitishwa.
Jana usiku Mfanyabiasha mkubwa (mabasi na vituo vya mafuta) alitekwa toka kituo chake cha mafuta na watu wanaosemekana kutumia Nissan Patrol yenye namba za serikali na kumnyang’anya bastola zake mbili kwa wakashindwa kujua kuwa alikuwa na bastola nyingine.
Wakati wakielekea kusiko julikana Inasemekana Ndugu Zakaria akampiga risasi ya bega moja ya watekaji, pia akampiga mwingine risasi ya tumbo.
Kisha mfanyabiashara huyo akamuamuru dereva aelekee police la sivyo angesambaratisha kichwa chake.
Dereva alitii na kuelekea police.
Inasemekana police wa Teatime wamedai kutowafahau watu hao pamoja na gari walilotumia ni la serikali.
Kwa sasa Zakaria yuko Musoma mkoani.
Hari inasemekana kutokuwa shwari kwamba Zakaria akiumizwa…

Story inayotrend ni kwamba hawa jamaa wasioujulikana waliattempt kumteka Zacharia ndio akawa fast na kuwawahi na na pyu pyu.

Sasa mbona serikali inataka kupindisha story, haya mambo ya kuteka watu, watekeni mtwara na sio tarime, sasa naona itv wanataka kutuaminisha kivingine

Kawachapa watoto wa jiwe; zakaria ni nouma…

Mambo yao waachie wenyewe…

Cc: @Mahondaw

Mleta mada anaumwa na malaria ; hapa CCM inaingiaje??

Mbona inaeleweka kuwa wasiojulikana ni product ya ccm. Tarime wamekomeshwa!

soma hizo habari za mwananchi na itv ndipo utapata jibu la swali lako

itv si sehemu tena ya kupata habari katika uhalisia ila ni sehemu ya kueneza propaganda za watu fulani

Itv, eatv, radio one ni upuuzi tu hakuna habari pale zaidi ya propaganda za siasa na ukanda

Yetu macho na masikio!!