Census vs Hujuma Chieth

Vile wanataka kufanya hesabu ya watu, hawangefanya na hujuma chieth hata kama hatuchukui hio namba ya shatan… Sihesabiwi, muchele wa nyama hatahesabiwa, Ngimanini pia hatahesabiwa…sisi ni aliens

Um… ulilipwa pesa na Wariahe?

Wariahe wako hapa na Wamabuku tukimeza keg

Amba uuge kuria @Ngimanene na nyeni aathire

Ata mimi sasa nimeamua sihesabiwi

pay attention to section 19 of the Statistics Act no. 4 of 2006.

Ile thegere @Purple alimweka Siberia life sentence

Hata Matiangi abweke nyumba ya ngimanene ndiratarwo liwe liwalo…it’s taboo to count family

Pia Mimi nafunga gate. Gathecha anachukua research ya his market for milk.

Nihesabiwe kwani mimi ni namba?

Naachilia mbwa naenda bar daily. Watajua hawajui!

watumie hizo statistics zao za tyrranniiee of nambas! Mimi sihesambiwi!

:D:D the comments here …

Hata Mimi pia sihesabiwi. Na wakiniforce nawapatia wrong data!

Hata kuongea nao haufai

mi ntakuwa nalewa iyo siku

Utaenda base gani nikam?

Mu sub county niaje?

Tunatawala huko

Interview ilifanywa Jana…lakini ujue Ass. Chief ndio kusema
MKR… ZGZBA
[ATTACH=full]247323[/ATTACH]