Chafua meza

Kushiba ni muhimu.

[ATTACH=full]162980[/ATTACH]

[ATTACH=full]162981[/ATTACH]

Michael sasa pitia hapo kwa njemson…

Enda uteremshe hiyo madodo na jug daniels. Hii haisikizani na fombe ya mbirrioneas kama Jemuson.

Mashakura

messy eater

wapi avocado?

swafi kapisa

https://pbs.twimg.com/media/DYgDS06VQAEDt3p.jpg

Are you in prison?

mkamba uko heaven, huku kwetu avocado zimeadimika kama wali wa daku

Hii ni chakula ya mtoto, ni kidogo sana.

mluhya hapana wekea mkamba standards za Emusire

@Kihii Kiaganu come kidogo

Hio ni kama saucer omwami.

VS hebu tuma avocado kadhaa hapa naks ata kama utaeka kwa bahasha na utume na G4s tafasari

huyo ni ule @Mosa jamaa wa githeri.

Say what

[ATTACH=full]162994[/ATTACH]
Hio ndio kuchafua meza.

hakuna nyama?hii ni mateso bila chuki

ina-promote nyama sana wakanyama. wtu wamekataa kula au?

wamekataa na nikitafuta other means to make ends meet jamaa ananitegua,mshenzi sana huyo mjamaa