Chakula ya Ajabu

Prepared by Okuyu chief chef.
[ATTACH=full]448744[/ATTACH]

What a waste!! Kina @ChifuMbitika are clueless when it comes to fixing fish stew. Usipochunga watakoroga tilapia ni kama ni sukuma wiki and serve you very dilute tasteless soup, scales, bones and fins…:D:D

Huyo ni wagethomo tu

Hapa umewekelea Okuyus.WakaLucy ametufunza kuzitengeneza poa ata kuliko jaruos

Mimi Niko Sawa when it comes to preparing meats and vegetables. Siwezi fanya hii ujinga

Ile siku utatengeneza weka efidens we grade you. Am certain a C minus will be a great favor. I don’t award marks hivi hivi…:D:D

Lakini hiyo hapo juu sio msapere amepika

:D:D:D tusema ni wakanesa @PHARMACY

Wakalucy yuko mbele tell em na ameikulia vilivyo

Wacha uongo! Wakikuyu wa sagana na naivasha wamekua wavuvi wa samakaki kabla Mzungu aingie Kenya. Tilapia ni chakula ya kila siku kwao na kawaida ya kupika samaki ni kuikaranga. Kwa taarifa yako, zinajulikana kama çiungóyo kwa lugha ya kikuyu.

Abomination. They just had to defile mbuta of all dishes

Sagana hakuna tilapia, za sagana ni mud fish
[ATTACH=full]448833[/ATTACH]

Wakikuyu are clueless. Let’s talk about what they are good at…kupika mokimo. Hapa nmewainamishia.

Hii nayo hijawahi nijazz

Chapo Chafua
[ATTACH=full]448837[/ATTACH]

Catfish is more common

Wacha Za ovyo! Kila jioni unapita pale kwa @Motokubwa unanunua mútura ya 20 ama weekendi unaingia pale kimakis unathani hio sio chakula ya wakikuyu? Múkimo is an accompaniment just like ugali chapati or rice

And why should we care to know how fish is prepared,? siwezi kula samaki ,chicken , njahi or offals,I would rather die

Basi hujapitia kwa walucy

Hapo nakuunga mkono @Mongrel , fish , chicken = pigs, they eat everything. Unclean for human consumption

fish yafaa u fry kama hujui kupika @Motokubwa