Chamge missing

[ATTACH=full]229738[/ATTACH]

Swafi uncle ruto 2022 liwe liwalo

Nikama haunanga akili …umebeba tuu 130kg of pure umeffi kwa hio mwili yako. 125 kilo iko kwa mwili na 5kg kwa kichwa

See what the man you’re supporting said 7yrs ago
[ATTACH=full]229741[/ATTACH]

Wakahare nakuona sana, weee!
Nkt

Fill us in is wakahare = @Motokubwa?

hao wamekufa juu ya uzee sio hunger

:D:D It’s that ‘squirrel’ aka Waititu.

Hujui? Na vile unajifanyanga nini kwa hizi streets…