Hii mtaa haitaki mchezo.. Jana nimepitia nikaamua nichukue maspirits nijiue nazo ju mimi sikuwa na kunguru ya kupeleka valentine.. Nikachukua kaquarter ka kwanza kwa Wines and Spirits nikaskia hakashiki poa.. Nikaamua nichukue kengine lakini nikaenda kwa bar ju masaa ya kufungua ilikuwa imefika.. Vile nilipata wanauzia mlango ya nyuma nikashangaa lakini ju watu walikuwa wengi ndani, nikaconclude labda wanaavoid D- kukuja kuchukua pesa.. Nikachukua quarter yangu nikaenda.. Kuna ile design naonaga kina @johntez addi gaza msafi wakiipiga apo chini kabla wafungue.. Kupiga ivo, ilikuwa inamwagika na sikuwa nimefungua.. Mimi na kiu yangu nikafungua tu nikakunywa nikiambia boyz wangu nashuku hii kitu sio legit.. Kutoka hapo sijui ata vile nilienda home.. Nimejiskia 0600hrs nikiwa mlevi bado.. Kukula breakfast nimetapika yote.. Right now only thing I can do in office is browse KTalk, throw comments here and there without reading the posts, take naps and drink endless litres of water.. Am still drunk.. I feel like going home.. What am wondering is kina @uwesmake manage to make the fake liquor, seal it in spirit bottles and it ends up tasting like the original spirit.. Karibu nikufe banae