Chang'aa

Naskia Umoja kuna majamaaa walituacha? Pombe mbaya. Poleni.

Mwenyewe pombe imenitesa sana. But the person who nearly lost his eyesight is a colleague of mine. Let’s call him David. At the time we were BOG teachers at a certain sec school. Man hapa mshahara ilikuwa 6, 500 and ukiongezea remedial money, take home ilikuwa 7, 500. But the remedials were never consistent. This is a job many salivated for. Daily we used to patronise a nearby village for a few pints of cham. My favourite dealer was Ras. Very respectful but above all, angekukopesha regardless of your arrears. His neighbour was another dealer (Tina) who liked taking shortcuts. I was never her customer in part due to the excess of use methanol in her drinks. It was known.

So guys ni end month. Nimeingia was office ya Principal. @Meria Mata amenipea 6380 for my salary. Why? Because he had deducted 120 shillings on the basis that he had given me lift 5 times that month. Each lift cost me 20! I used the same route as the principal who had a Datsun pickup (chopper), blue in colour. Chopper was the beast along the rough terrain. Akikubeba unakaa tu nyuma na hapo ndio shida ilikuwa. The wind would be so strong such that it could unbutton your shirt. It could even untuck the shirt and curl your hair. Ushawahi shiba upepo? Hizo ndio lift alinikata hizo mbao. My colleague, David was deducted 20 bob apparently for a tea the Princi had paid for him a certain hotel.

Sisi hao tumefika base. We parted ways as I went kwa Ras while David went to Tina’s. Tina’s cham was cheap and she was also not good in memory. Several hours later, we hear that watu wa kwa Tina wamegonjeka. We hurriedly went there but Dvid was not sick, only that macho zake zinawasha, side ya chini zote. Aliseme anasikia a form of utamu. Some two other guys complained of stomach-ache ache. “Naskia ni kama nadungwa na kisu kwa tumbo”, one complained. “Wewe Davi osha macho na maji baridi”, someone suggested. Over time, Davi akaanza kusugua macho aggressively.

Hapo hapo nduthi ikam. The guys were taken to the nearest dispensary but were immediately referred to the district hospital. They had to be taken to hospital the same night, else. David was admitted for three days but he has never regained his sight fully. As at 2010, one eye had lost considerable power. The other two were discharged a week later. But the guy still continued with cham. Venye alirudi job, the Princi deducted pay for days not worked.

Hekaya tamu mwarimo

washana na sachets !

Na wewe,uliacha kukunywa?

Poleni Mwarimo.
Hapo dispensary “Daktari” angewatibu na Smirnoff Vodka pengine wangeokoka kupofuka…but pengine hata hakukuwa na vodoo hiyo shopping center juu haina customers…

I was gradually leaning towards makali but after drinking a VAT 69 that left me feeling groggy for two straight days nikasema wacha zikae, sitaki kuanza kuona dim.

Niliacha kukunywa ya kujibaia. Ukinibaia nitakunywa. Sitaki kuharibu pesa yangu. Pesa muhimu :D:D:D:D

Hekaya swafii mwalim, pewa like.

Sure? Can Vodka arrest kupofuka?

wacha tuulize Dr @Luther12

Huwa sikuiti mwalimu wa P.E na CRE bila sababu

wewe ni sissy,sisi maordinare we drink it neat

Unafikiri liver ni zile nyama umezoea kuchoma?

kuna siku nimeenda roysambu kuona beshte yangu akanipeleka baze fulani inaitwa hide out zile pombe nilikunywa hapo nilipigwa na hangy siku nne straight funny thing mmeamka asubuhi unahangy na wasee mlikunywa nao wako sawa wanaenda hiyo base kukunywa tena pombe ikae

umesema mwarimo nakurudi kuconfirm kama gashwii ameandika hekaya yake ya kwanza

Gachui amewahi kuandika hekaya kweli?

Recall the many deaths in 2015 here over the same? I had to get my supply over 150kms away.

Of course the local MCA doesn’t understand why a hospital he supposedly oversees is spending money on Vodka. Such is life.

:smiley: :smiley: :smiley: :smiley: :smiley:

Depends on how much methanol you had taken and how fast you present to hospital and ethanol administered. Besides eyesight, I must hasten to add that there are other effects on other body organs. We may save (part of) your sight but leave you with other lifelong health complications.

Lakini hio mang’aa Inakubeba kwa baridi afu inakucharge kwa mshahara ungeiba tyre mkwame wote.
nice hekaya all the same