Chapo. For the love of 'shafashi'

Kuna mchezo hapa na si mzuri:D:D:D:D:D

[MEDIA=facebook]239812053478180[/MEDIA]

Wako lunch wanakuja.

Jana kuna mtu alisema chapati zamani ilikuwa na maringo sana juu haikuwa inapatikana kwa urahisi lakini siku hizi imejikosea heshima unaipata ikipikwa kwa streets na vichochoro.

:D:D:D:D:D:D:D

Toa tu my fren.

hehehe waiter atajitetea akiwa upande gani:D

pants down :D:D

Chapo nne zinazaa ingine moja. Hehe…Na wale wanapikanga chapati translucent.

Transleshen please

:D:D:D:D corruption left right and centre

Typical kenyan. Enjoy shafting each other. No honesty everywhere.

Muteso transleshen plz

Address me well before I can call someone to help us

Korapshen

Jana Nikiwa pale olive inn nakuru I saw a young man eat SIX huge chapatis na maharagwe…na bado hakua ameshiba

sita zote :eek::eek:

Stale

Mtu angekuwa ashaifanya mjengo angeuliza, Sita pekee?

Sasa hawa watu na NYS kuna tofauti kweli??Yet youll find the waiter and his cohorts in that establishment screaming themselves hoarse when waigurus name is mentione… oooh corruption…serikali. wtf!! Low level corruption runs into the billions possibly outdoing those big ones but we rarely get to know about them since they don’t get the attention especially from the media

:D:D:Dsasa kama hauezi amini chapo utaamini nini kenya?