Cheap phones that get software updates

Hey,
Anyone who has discovered a cheap chinese phone manufacturer that provides software updates?

Nimepata tu
Infinix(S2 pro, Note 3 ziko Nougat)
Oukitel(waliprovide Nougat January while saa hii ndio zinafika kwa galaxy note 5 na akina S6)
General Mobile(hawa ni Android one kama Infinix hot 2 na akina Google Nexus, wako Nougat zote)

Please ongezeni ili mkenya hana pesa aki google apate results

Na criticism kama si kusema iphone(hiyo si cheap) usiseme akina Samsung kwa maana wana struggle pia kwa akina S6 na Note 5(walipea S7 mapema lakini). Hata Oneplus hawajapea Op2 Nougat(50K not cheap btw)

Natafuta phone cheap tu

ile accident ilifanyika juzi ilifanyika wapi?

I would only suggest general one kwa hiyo list

Hapo kwa oneplus umedanganya

Op3 T ni 48k hapa Kenya so OP2 ni lower

William lawsons utakunywa kiasi gani ugurumishe hadi dadako?

If there’s one officially supported by LineageOS (formally cyanogenmod), utapata updates.

Nilikuwa naongea tu closest numbers. Nikaa kusema S7 ilikuwa 100K na Saf walikua wanauza 104K

But then Op wame ignore Op2 so afadhali infinix kuliko op2.

Shida ni hakuna yenye nimepata.
But akina Oukitel ni famous China so wako na ROMS kadhaa kwa www.needroms.com.
Unajua cheap phone ina supportiwa na Lineage?

Xperia M

Mimi as long as Kernel sources zinatolewa am okay

Unajua kumake roms?
Wallahi tena. Requirement ni programming language gani?
Walahi nikijua na eka kila phone android O

C for Kernel na Java. If you know those utajua.
Android O bado sources hazijatolewa.
Kumake Rom sijui na sitaki kujua. Let others do that donkey work for me

kumake rom from source ni ngori. hauwesmake mtu moja it requires a team and flawless internet.
on the other hand porting a rom that u can do i ported a rom for tecno h5 and galaxy star. ofcourse ilikua na bugs kaa mia but it booted successfully. Guides on XDA forum
also ported Note3 from Galaxy tab S but before i could finish some indian guy had already done it