Cheap reliable importers needed

#1
I want to import some goods that weigh 47kg. I cant ship it by air and sea because it will be too costly and i cant make a profit. Kuna seevices that can deliver hizi badhaa for me nisilipe wale big boys wa hapa.

Profit margin yangu iko tight sana.
 

Tom Bayeye

Kinyozi wa Stima Jebedeyo
#4
Si mnasemanga sisi ni ovyo? Sasa jisaidieni.. meanwhile pale eastleigh we are the cheapest east and central Africa
Bado nyinyi ni wagongaji mko at $7 yet kuna wengine wanachezea $5 for both air and sea. Nilileta mzigo kiasi nikadungwa bill ya 267+ kuuliza nikaambiwa story ya kishenzi sana
 

Top