Shida ya places kama hizo ni vile Infrastructure itakuwa expensive kusetup. Watu wanaishi kwa quarter acre plots so kabla you cover ten customers umetumia resources mingi.
An Umoja flat iko na like 40 customers so makes business sense.
@Deorro ni vile unaishi place ya peasants Rongai, ndio maana safcom wako hapo. Past Exciting they wont dare venture.